Sababu gani inafanya Ebitoke kuwa na MLINZI (Bodyguard)

Sababu gani inafanya Ebitoke kuwa na MLINZI (Bodyguard)

c7ed9786f6f7c61e7c519675ed0d0270.jpg



Naomba mnisaidie jamani ebitoke analindwa kwa kipi hasa ?
Hana utajiri wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ben hataki mtu yeyote abikiri kale katigo.....anataka yeye ndiye awe wa kwanza akiwa tayari baada ya kufanya mazoezi na mwana sesele wake.
 
Yeyote anaweza kuwa na Body guard,ni wewe tu na mihela yako.
 
Back
Top Bottom