Ebe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 811
- 972
Kongole kwa kuonesha weledi wa lugha na kurekebisha katika hali mwanana. Kongole tena Bi. Faiza. Tupo sako kwa bako. [emoji122][emoji122][emoji122]= utajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kwa kuonesha weledi wa lugha na kurekebisha katika hali mwanana. Kongole tena Bi. Faiza. Tupo sako kwa bako. [emoji122][emoji122][emoji122]= utajiri
Unaweza ukahisi aliyetoa hii comment ni Mexece Melo.ebitoke ndo nani?
afu haya mambo y fb na insta mbona mnayaleta huku?
Hivi Kati yako Wewe na Ebitoke nani mwenye akiliuchizi
ebitoke ndo nani?
afu haya mambo y fb na insta mbona mnayaleta huku?
![]()
Naomba mnisaidie jamani ebitoke analindwa kwa kipi hasa ?
Hana utajiri wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe una amini?alimjulia wapi ben pol.mpaka aseme alikuwa ana mtunzia ben polAmesema yeye alitunza bikra kwa ajili ya ben pol alisema ijumaa ya 21/07/2017 kwenye kipindi cha sam misago eatv Friday night live
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha ngachokaDuuuh hilo jicho sijui ntaota usiku