Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Mar 15, 2024 #1 Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Mar 15, 2024 #2 Kwa sababu wanazalisha sana viazi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 16, 2024 #3 Ajali... Cc: Mahondaw
Lethergo JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 6,534 Reaction score 11,421 Mar 16, 2024 #4 Naby Keita said: Kwa sababu wanazalisha sana viazi Click to expand... Uzi ufungwe