Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mkuu nadhani kwa taarifa yako huyo ronaldo de Lima na zidane record zao pale Madrid zimeshavunjwa mbaaaaaaaaaaaaLi na CHRISTIANO RONALDO.. Leo hii pale Madrid tunaweza kusema Christian ronaldo ndio father wa kila kitu....Hao uliowataja bado huwezi wafananisha na akna de Lima, Ronaldinho au Zidane na Messi au Ronaldo wangekuwepo kipindi hicho wasingeshnda kwa kupokezana na kaa ujue mpira kwa sasa ni umekufa ila tunaupenda tu ndo maana hatuachi kuangalia ila angalia world cup za miaka ya karibuni uangalie na za miaka 90 hadi the 02 utaona utofauti mkubwa sanaa ya wachezaji wa sasa na kipindi kile pia angalia ligi kuu kama Seria A na nyingine zote mpaka uingereza ni tofauti na miaka ile tena na Afcon ndo kabisa hakuna kitu kwa kweli wachezaji wa zamani na sasa ni vitu viwili tofauti wa sasa wengi ni pesa kubwa wanapokea viwango kawaida ni wachache wa sasa ambao ukiwaweka namagwiji wa zamani wanaweza pata namba mfano kati ya suarez na Ronaldo de Lima kwa kiwango yupi akae benchi? ?
Inakuaje unamu- UNDERRATE mchezaji alievunj record za wachezaji unaodhani walikuwa bora...???
Hii pia inatokea upande wa Barcelona na Lionel messi Lapruga ....