Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Mkuu nadhani kwa taarifa yako huyo ronaldo de Lima na zidane record zao pale Madrid zimeshavunjwa mbaaaaaaaaaaaaLi na CHRISTIANO RONALDO.. Leo hii pale Madrid tunaweza kusema Christian ronaldo ndio father wa kila kitu....

Inakuaje unamu- UNDERRATE mchezaji alievunj record za wachezaji unaodhani walikuwa bora...???



Hii pia inatokea upande wa Barcelona na Lionel messi Lapruga ....
 
Jaribu kulinganisha na muda waliokaa hao wakongwe na huyo C.Ronaldo
 
Umenena kweli kabisa ila vijana wa sasa walojaa ushabiki wa Messi na Ronaldo au Diamond na Alikiba hawawezi kukuelewa saiz mpira umeisha ufundi wa mchezaji unaangaliwa kwa kufunga magoli pekee kitu ambacho si kweli hata kidogo
 
Uko sawa sana mkuu mpira umeisha tunaenda tu kuangalia kwa sababu tunapenda mpira na hakuna mbadala
 
Angalia na muda walio kaa kwenye team na formation ya timu, saiv madrid kila mtu anamuangalia cr7 kila mpira unaenda kwake na messi vile vile pia, emu angalia kaz ya iniesta ilivyokua pale barca kama nae angeamua awe a nafunga bila kumpa messi anaweza maana alikua anauwezo wa kuwamiliki had watu wa3 na anatoa pass kwa messi anamalizia kaz kubwa ya iniesta ila kipnd cha nyuma ilikua kaz ya kufunga ni ya forward tu ndio maana kipnd cha dinho etoo ndio alikua top score maana mipira yote ilikua inaenda kwake.... Ila mpira wa sasa masikhara kweli eti HAZARD nae ni mchezaji bora duh[emoji23][emoji23]
 
Swali gani mkuu? Kitu kingine usilinganishe ubora wa mchezaji kwa idadi ya magoli pekee
Tuache maneno meeeengi hebu soma hizi record alizovunja Cr7 pale La Liga ligi iliyobahatika kuchezewa na hao mastaa mnaodhani walijua soka saaana....


Cristiano Ronaldo Spanish Records

1) The first player to score against every team in La Liga in a single season. Achieved this record by scoring against Real Mallorca in 2013-2014 season.

2) The first player ever to score in six consecutive Clásicos.

3) In a single season of La Liga, Cristiano Ronaldo scored 20 away goals making him the first player to do so.

4) In 2011-12 season he scored in 27 gamesand share this record with Lionel Messi.

5) He scored 9 goals in three consecutive La Liga matches making him the most goal scorer.

6) He scored against 19 opponents in a season of 2011-2012. He share this record with Lionel Messi and Ronaldo.

7) With 25 goals in five consecutive La Ligaseasons he became the first footballer to do so.

8) First player to score more than 50 goals in four consecutive seasons in Spanish football.

9) Lionel Messi and Cristiano Ronaldo share a record of 23 hat-tricks – the most number of hat-tricks in La Liga.

10) Cristiano Ronaldo holds the record of scoring 15 goals, the most number of goals in La Liga after eight games and when he reaches his 10th game he made another record of 17 goals. Though he didn’t play in the one of those games.

His record breaking streak didn’t end their he went on to make another record in the same season after first 12 games scoring 20 gaolsand the after 15 games, 25 goals record, being the most number of goals scored in La Liga after the first above mentioned games.

11) Most consecutive home matches scored in in La Liga (in which he played): 17 consecutive home games

12) He won 3 LFP awards in 2013-2014 season – Best player, Best forward and Best goal – becoming the only player to do so.

13) Fastest La Liga player to score 150 league goals

14) Fastest La Liga player to score 200 league goals

15) He has the best La Liga penalty conversion rate with 93% of at least 30 penalty kicks.

16) The 1.13 goal ration gave him the record of best goal ration ever in La Liga.


Ronaldo delima, Figo, Ronaldinho , deco ,maradona Wote waliwahi kucheza La liga
 
Mara zote huwa nasema " Ni dhambi isiyosameheka kuwachukulia poa Cr7 na Messi,.. Wametenda maajabu mengi kwenye soka hili"
 
Nimekwambia huko juu umahiri wa mchezaji si kufunga pekee,we huoni hilo andiko lako lote ni score tu score score score mpaka mwisho,maana yake ni kwamba rekodi za CR7 zoote zimeegemea kwenye magoli tuu!! Kuna watu walifanya vizuri hebu kumbuka tu hata mchezaji Ludovick Giuly(simaanishi kwamba analingana na Ronaldo)
 
Mara zote huwa nasema " Ni dhambi isiyosameheka kuwachukulia poa Cr7 na Messi,.. Wametenda maajabu mengi kwenye soka hili"
Si kwamba hawa si wakali ila kwe enzi zao hizi hawana ushindani wa kutosha!!!
 
Sasa ubora wa mchezaji ni nini???
Halafu tofautisha ubora na umahiri wa mchezaji... Hao mnaowataja walikuwa mahiri....


Kwa taarifa hao asilimia zaidi ya 98 ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani tangu ulimwengu huu kuumbwa ni ambao wanachezi wanaocheza Nafasi za kufunga magoli... No Mara chache sana kwa wachezaji wanaocheza Nafasi tofauti na ushambiliaji kuwa recorginized kama best players... Ila watabaki kuwa wachezaji mahiri...



Sasa nakushangaa kukataa statistics za mshambuliaji ambae kazi yake ni kufunga magoli... Ulitaka uletewe statistics za tackles ngapi alifanya?? Au blocks ngapi alifanya?? Hivi ni vigezo vya mchezaji wa Nafasi ya ulinzi...
 
Iniesta angekuwa na nywele kama za Ronadinho!? Dinho bana kuna wakati alikuwa anatikisa bunda lake la nywele mabeki kule....
 
Duh.......nimeshangaa sana mkuu,anyway tuko tofauti sana kimtazamo.....
Kuna jamaa huko juu alisema hapa tunafanya utani ni kweli hata mi nimekubali
Unamkumba Fabio Cannavaro??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…