kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Toa shuhuda za miaunt sasa πππππππ Usione tu id humu ukachukulia poa...
Kuna pisi kali humu jameni achen tuu
Toa shuhuda za miaunt sasa πππππππ Usione tu id humu ukachukulia poa...
Kuna pisi kali humu jameni achen tuu
Mi kusema kweli siwezi toa ushuhuda wa aunt wa humu ila niseme kuna aunt mmoja kipindi hiko alinichek nikawa nachat nae bana sema alikua mzungu sana... its oky juzi nimeonana nae ila hatujakulana kasema it too early..Toa shuhuda za miaunt sasa ππ
Nikajua unachoka baada ya .....β οΈβ οΈβ οΈMimi huwa napataga usingizi saa 7 hivi na hapo ni baada ya kuperuzi sana online nikichoka ndiyo naanza kusinzia
Ila wewe unaonekana ni moto wa kuotea mbali mhπππMi kusema kweli siwezi toa ushuhuda wa aunt wa humu ila niseme kuna aunt mmoja kipindi hiko alinichek nikawa nachat nae bana sema alikua mzungu sana... its oky juzi nimeonana nae ila hatujakulana kasema it too early..
Naongea hv kwa sababu najua awezi kuwepo nyuzi kama hizi.....
Leo nimepoa sijaingia job nipo namchokoza ant sekela hapa... Tuone kama atakuja au laaah
Nichoke na nini wakati nalala mwenyewe kama pangaNikajua unachoka baada ya .....β οΈβ οΈβ οΈ
Hapana kawaida tuu...Ila wewe unaonekana ni moto wa kuotea mbali mhπππ
Mmmh wewe huogopi sasa...Nichoke na nini wakati nalala mwenyewe kama panga
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£shindwa pepoMmmh wewe huogopi sasa...
Kuna ugonjwa unaweza kupata alafu madactar wakashindwa kukusaidia...
Nakushauri mapema kama upo dasalam fanya utafute sehem ya wazi kama garden hv tuonane mana mm ni mwana saikolojia
Anazani serikali iliweka papuchi yako kama zamana ..shenzi Sanaa huyoooo π€£π€£π€£Deni la taifa na papuchi yangu vina uhusiano gani?
Mungu akusaidie usije ukaambukizwa gonjwa lolote la zinaaππHapana kawaida tuu...
Ila nakuaga sina huruma nahisi hiko kinanipa credit ππππ
Nimeambiwa ninunuwe asali
πππππ Hapana acha kuogopa..π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£shindwa pepo
Wine au k vant
πππHapo ukichanganya utapaa usikuWine au k vant
Haitokuja tokea...Mungu akusaidie usije ukaambukizwa gonjwa lolote la zinaaππ
ππππ Oa nipo nacheki the sound....2025πππHapo ukichanganya utapaa usiku
π€£π€£π€£π€£kuna uzi wa mahaba huko nimekutagπππHaitokuja tokea...
Am pre medical students.. aiseee nina mbinu zaid ya 17 za kutopata magonjwa ya zinaaa .
Ila kipindi nipo jeshini nilipata oaaa nusu naniliu ikatike jamn
Uende kwa mwamposa ndiyo anakemea vizuri mapepo yote yatakimbia, hutatamani tena miauntπππππππ Hapana acha kuogopa..
Kuna mambo nataka tuongee kuhusu afya ya akili pamoja na mengineyo..
Kukaa upweke inaleta effect hyo.. na kama una nia kweli ya kunikemea nipo.tayari naomba unifanyie hv
Nahitaji maombi ππππ«΅π«΅