Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

1. Umefika kiwango sahihi cha elimu
Ndiyo
2. Una watoto au idadi kamili ya watoto?
Ndiyo
3. Umeolewa?
Ndiyo
4. Una salio bank na kwenye account zako za mobile money kwa ajiri ya kulipia bills zako za wiki,mwezi hadi mwaka?
Ndiyo
5. Una kiwanja au viwanja na shamba?
Ndiyo
6. Umeshajenga,umeshaanza ujenzi?
Ndiyo
7. Una retirement plan?
Ndiyo
8. Una akiba ya uzeeni au umeshaanza kuitengeneza?
Ndiyo
9. Una assets ngapi zinazokutengenezea kipato au ambazo zina uwezekano mkubwa wa kubadilishwa kuwa hela ukitaka kuziuza muda huu?
Ninazo 10
10. Una familia yako wewe binafsi ya mume,mke na watoto?
Ndiyo
11. Una shirikiana vizuri na wanajamii wenzako?
Kiasi, sipendi mazoea na watu
12. Una connection za kibiashara?
Ndiyo
13. Una gari?
Ninayo matatu
14. Una marafiki na ndugu na jamaa wanaokujali?
Ninao wa kutosha
15. Mahusiano yako ni rasmi?
Ndiyo
Haya ni 0.5% ya maswali ambayo pengine mwili wako unataka uyape majibu na ndio maana zamani ulikuwa unalala ila sasa unashindwa kulala.
Maisha yangu hayajabadilika sana, ila nimepunguziwa baadhi ya majukumu kama malezi na kufanya kazi kwa ajili ya kipato.
Mwili kukosa usingizi sio ugonjwa ni mwili unajaribu kuzungumza na wewe ili kupata majibu ya maswali yanayohusu maisha yako. Labda kama unatumia kahawa nyingi muda wa jioni kabla ya kulala ila kama sivyo then ni mwili unataka uamke uanze kutenga muda wa kupangilia maisha yako hiyo ni kawaida kabisa katika ukuaji.
Natumia kahawa ila hainiathiri chochote
Sasa wewe badala ya kupanga maisha unaamka na kuwaza umalaya na ngono zikupe usingizi, wajukuu zako watarithi umalaya na kukojozwa? Pumbavu kabisa.
Kila nikiamka napenda nikojozw:uwotWater: hiyo ndiyo starehe yangu, I hope wajukuu zangu pia watakua wanapewa raha wafurahie maisha.

kuhusu kurithi nitawaachia trust fund ya elimu tu, vingine watajitafutia wenyewe.
 
Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ndiyo

Ninazo 10

Ndiyo

Kiasi, sipendi mazoea na watu

Ndiyo

Ninayo matatu

Ninao wa kutosha

Ndiyo

Maisha yangu hayajabadilika sana, ila nimeongezewa tu zaidi na kupunguziwa baadhi ya majukumu.

Natumia kahawa ila hainiathiri chochote

Kila nikiamka napenda nikojozw:uwotWater: hiyo ndiyo starehe yangu, I hope wajukuu zangu pia watakua wanapewa raha wafurahie maisha.

kuhusu kurithi nitawaachia trust fund ya elimu tu, vingine watajitafutia wenyewe.
Tunaweza kupata kahawa jioni ya Leo 😎
 
Kitu kinachonifanya nichelewe kulala ni ile siku mimi na mke wangu tunaamua kusoma katiba, lakini mbali na hapo huwa nawahi kulala na kuamka, huwa sijawahi kusumbuliwa na insomnia
Katiba kama katiba au umetumia neno katiba kama tafsida ya vingine unavyovifunua na kujisomea usiku?
 
Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku.

Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa mbususu vizuri nikarusha :uwotWater: na hapo nitalala masaa kadhaa halafu nitaamka usiku wa manane nishindwe tena kulala.

Nani mwingine anapitia au ameshawahi kupitia changamoto kama hii? Na ulifanya nini kukaa sawa?
Weka video tuone unavyorusha

Weka video tuone unavyo gegedwa na kurusha H2O
 
Back
Top Bottom