Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

Toa shuhuda za miaunt sasa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Mi kusema kweli siwezi toa ushuhuda wa aunt wa humu ila niseme kuna aunt mmoja kipindi hiko alinichek nikawa nachat nae bana sema alikua mzungu sana... its oky juzi nimeonana nae ila hatujakulana kasema it too early..

Naongea hv kwa sababu najua awezi kuwepo nyuzi kama hizi.....

Leo nimepoa sijaingia job nipo namchokoza ant sekela hapa... Tuone kama atakuja au laaah
 
Kitu kinachonifanya nichelewe kulala ni ile siku mimi na mke wangu tunaamua kusoma katiba, lakini mbali na hapo huwa nawahi kulala na kuamka, huwa sijawahi kusumbuliwa na insomnia
 
Ila wewe unaonekana ni moto wa kuotea mbali mh😁😁😁
 
Mmmh wewe huogopi sasa...

Kuna ugonjwa unaweza kupata alafu madactar wakashindwa kukusaidia...

Nakushauri mapema kama upo dasalam fanya utafute sehem ya wazi kama garden hv tuonane mana mm ni mwana saikolojia
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣shindwa pepo
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣shindwa pepo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapana acha kuogopa..
Kuna mambo nataka tuongee kuhusu afya ya akili pamoja na mengineyo..

Kukaa upweke inaleta effect hyo.. na kama una nia kweli ya kunikemea nipo.tayari naomba unifanyie hv

Nahitaji maombi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅
 
Uende kwa mwamposa ndiyo anakemea vizuri mapepo yote yatakimbia, hutatamani tena miauntπŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…