Sababu gani zinawafanya vijana wasishiriki masuala ya kisiasa

Jantisa

Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
51
Reaction score
47
Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…