Sababu iliyofanya wayahudi wa Marekani kuwa matajiri kupindukia.

Kuna Sababu nyingi kwa nini wayahudi wa Us ni matajiri. 48% ya mabilionea wote US ni wayahudi.

Kinachowafanya wayahudi kutofautiana na wengine sio DNA, au UPendeleo kwa Mungu bali ni Desturi na Mila ambazo wamejitengenezea tokea miaka mingi iliyopita.

Wachambuzi wa mambo wanasema wayahudi ndio wanadamu wa kwanza kupractice globalization miaka mingi iliyopita kabla hata dunia haijajua kama kutakuwa na muingiliano huu wa watu kutoka sehemu mbalimbali duniani. Walitumiana misaada, walihamasishana maendeleo na walijijengea jamii za kuinuana. Walipokuja marekani kitu cha kwanza walitengeneza jamii na mtandao wa kusaidiana wao kwa wao. walipeana misaada,ushauri,kazi wao kwa wao.

Pia wayahudi walikuwa wamebaguliwa duniani kote, Marekani walipoweka sera za Uhuru na kutokubaguana kwa wayahudi huu ulikua ndio mlango wa kuonyeshea bidii zao bila kubughudhiwa.

Wengi walifika US miaka ya 1880 japo walikuwepo wengine kabla ya hapo. walifungua viduka vidogo vidogo hadi kufikia hatua ya kumiliki mifumo mikubwa ya kifedha.Lakini wengi walifika wakiwa masikini wa kutupwa.


Kwa ufupi Walifika wahamiaji wengi kutokanchi nyingi ulaya na asia lakini tofauti kubwa Culture ya wayahudi kupenda kusoma na kujifunza vitu haraka na Culture yao inayokumbatia Ujasiliamali iliwafanya wawe matajiri na watu wenye ushawishi kuliko watu wa jamii nyingine.

Kuna mzee alifika NEW YORK na DOLA MBILI lakini alihakikisha mtoto wake anamaliza PHD kwa Kuuza penseli, kaptula, huku akijifunza lugha zaidi ya tatu wakati huo huo anatengeneza network na watu muhimu.

Ubaguzi tu, ndio uliomzuia Mhayudi asiendelee kwa kipindi chote popote alipo.
 
Yaan umeongea ukweli mwingi sana lakini Israel ni taifa la siri sana na Mungu alishalisambaza dunia nzima ila hizo nadharia za wayahudi ni Plan ya shetani kuihadaa dunia ila nimefurahi sana maana umeongea vitu vinanavyoonekana vizuri, ila ni kwamba Ukifikiri deeply utagundua hizo fix kali sana
 
Nasubiri siku marekani atakapogombana na hao Jews,,,sipati picha
 


!
!
Nikajua Fent Fod
 
Hapa nina mkanganyiko kidogo na maelezo yako kuhusu rangi, isije ikawa umeandika kwa msukumo wa ushabiki wa rangi. Tangu Hitler anatawala mpaka sasa sidhani kama imeshafika miaka angalau 150, sasa wayahudi ninavyo fahamu asili ya rangi yao haitofautiani na waarabu angalau wale wa Palestina, ukisema ni weusi, wakati hata miaka mingi sana nyuma zaidi ya elfu mbili hawa jamaa wamekuwa na rangi tunayowaona nayo kwa sababu mtu mmoja maarufu sana kwa wayahudi na hata duniani pia kwa nyakati zile, alipokuwa kijana na ngozi yake nyororo tena nyekundu, alichaguliwa kuwa kiongozi wa jamii ile. Sasa ngozi nyeusi ikiwa nyororo inaweza kuwa nyekundu? Au rangi hapa unazungumzia ya namna gani mkuu? Nisaidie mawazo zaidi, asante
 
DDD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…