Sababu iliyofanya wayahudi wa Marekani kuwa matajiri kupindukia.

Sababu iliyofanya wayahudi wa Marekani kuwa matajiri kupindukia.

Kuna Sababu nyingi kwa nini wayahudi wa Us ni matajiri. 48% ya mabilionea wote US ni wayahudi.

Kinachowafanya wayahudi kutofautiana na wengine sio DNA, au UPendeleo kwa Mungu bali ni Desturi na Mila ambazo wamejitengenezea tokea miaka mingi iliyopita.

Wachambuzi wa mambo wanasema wayahudi ndio wanadamu wa kwanza kupractice globalization miaka mingi iliyopita kabla hata dunia haijajua kama kutakuwa na muingiliano huu wa watu kutoka sehemu mbalimbali duniani. Walitumiana misaada, walihamasishana maendeleo na walijijengea jamii za kuinuana. Walipokuja marekani kitu cha kwanza walitengeneza jamii na mtandao wa kusaidiana wao kwa wao. walipeana misaada,ushauri,kazi wao kwa wao.

Pia wayahudi walikuwa wamebaguliwa duniani kote, Marekani walipoweka sera za Uhuru na kutokubaguana kwa wayahudi huu ulikua ndio mlango wa kuonyeshea bidii zao bila kubughudhiwa.

Wengi walifika US miaka ya 1880 japo walikuwepo wengine kabla ya hapo. walifungua viduka vidogo vidogo hadi kufikia hatua ya kumiliki mifumo mikubwa ya kifedha.Lakini wengi walifika wakiwa masikini wa kutupwa.


Kwa ufupi Walifika wahamiaji wengi kutokanchi nyingi ulaya na asia lakini tofauti kubwa Culture ya wayahudi kupenda kusoma na kujifunza vitu haraka na Culture yao inayokumbatia Ujasiliamali iliwafanya wawe matajiri na watu wenye ushawishi kuliko watu wa jamii nyingine.

Kuna mzee alifika NEW YORK na DOLA MBILI lakini alihakikisha mtoto wake anamaliza PHD kwa Kuuza penseli, kaptula, huku akijifunza lugha zaidi ya tatu wakati huo huo anatengeneza network na watu muhimu.

Ubaguzi tu, ndio uliomzuia Mhayudi asiendelee kwa kipindi chote popote alipo.
 
Yaan umeongea ukweli mwingi sana lakini Israel ni taifa la siri sana na Mungu alishalisambaza dunia nzima ila hizo nadharia za wayahudi ni Plan ya shetani kuihadaa dunia ila nimefurahi sana maana umeongea vitu vinanavyoonekana vizuri, ila ni kwamba Ukifikiri deeply utagundua hizo fix kali sana
 
Nasubiri siku marekani atakapogombana na hao Jews,,,sipati picha
Yaan umeongea ukweli mwingi sana lakini Israel ni taifa la siri sana na Mungu alishalisambaza dunia nzima ila hizo nadharia za wayahudi ni Plan ya shetani kuihadaa dunia ila nimefurahi sana maana umeongea vitu vinanavyoonekana vizuri, ila ni kwamba Ukifikiri deeply utagundua hizo fix kali sana
 
Kwa maelezo zaidi kuhusu uyahudi na marekani kuna kitabu kinaitwa "international jews" by Henry ford.
But this modern world kwa haraka haraka inatawaliwa na familia ya kimarekani inayoi5wa rockafeller na ya kiyahudi iitwayo rothschild. Google hizo family ndio utaona the way wanavyocontroll dunia


!
!
Nikajua Fent Fod
 
Na wale Hitler aliowaangamiza ni wayahudi gani? Aliwaangamiza wote pamoja na wale chotara wa kiyahudi ili kumaliza kizazi chao chote.

Wayahudi walivyokimbia ulaya walikuwa weusi ila wakarudi wakiwa weupe..kwa mujibu wa Nasser wa Misri. Walirudi baada ya kununuliwa kwa kipande cha ardhi hapo mashariki ya kati chini ya abarfor agreement kati ya Harry Truman na roschild.

Kabla ya Hitler kuanza mauaji kulikua na kundi kubwa LA watu weusi bara LA ulaya. Hata Hispania ilipata kutawaliwa na mfalme mweusi enzi hizo! Wafanyabiashara na watawala wakubwa kama Mansa Musa waliingia ulaya na kuendeleza vizazi kwa kutumia utajiri wa fedha na madini. Wazawa weupe walizidiwa pakubwa sana.

Na intermarriage ilipotokea rangi nyeusi iliendelea Ku colonize rangi nyeupe, birth rate ya watu weusi ikawa kubwa! Hofu ikatanda kwa weupe. Hitler akawaangamiza "wayahudi"

Tujiuluze, kile kizazi cha watu weusi kilichotangulia ulaya kabla ya utumwa kilikwenda wapi? Walipoteaje wote?

Pia tuangalie, sheria za kibaguzi na kikandamizaji walizokuwa wanawekewa watu weusi huko US, je , kwa uchache zinakaribiana au kufanana na sheria kandamizi za Nazi dhidi ya wayahudi?

Hitler aliangamiza jamii ipi? Black Jews au "white Jews"?
Hapa nina mkanganyiko kidogo na maelezo yako kuhusu rangi, isije ikawa umeandika kwa msukumo wa ushabiki wa rangi. Tangu Hitler anatawala mpaka sasa sidhani kama imeshafika miaka angalau 150, sasa wayahudi ninavyo fahamu asili ya rangi yao haitofautiani na waarabu angalau wale wa Palestina, ukisema ni weusi, wakati hata miaka mingi sana nyuma zaidi ya elfu mbili hawa jamaa wamekuwa na rangi tunayowaona nayo kwa sababu mtu mmoja maarufu sana kwa wayahudi na hata duniani pia kwa nyakati zile, alipokuwa kijana na ngozi yake nyororo tena nyekundu, alichaguliwa kuwa kiongozi wa jamii ile. Sasa ngozi nyeusi ikiwa nyororo inaweza kuwa nyekundu? Au rangi hapa unazungumzia ya namna gani mkuu? Nisaidie mawazo zaidi, asante
 
Yaan umeongea ukweli mwingi sana lakini Israel ni taifa la siri sana na Mungu alishalisambaza dunia nzima ila hizo nadharia za wayahudi ni Plan ya shetani kuihadaa dunia ila nimefurahi sana maana umeongea vitu vinanavyoonekana vizuri, ila ni kwamba Ukifikiri deeply utagundua hizo fix kali sana
DDD
 
Back
Top Bottom