Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mkuu kwenda huko hapana.Kama ni Muslim nenda Dar hivi majuzi nmesoma pahala kulikua kuna ofa (sijui bado ipo) ya kulipiwa mahar kwa vijana wote ambao wameshindwa kuoa kwa sababu za kukosa mahar
mchakato mzima wa ndoa utasimamiwa na hiyo taasisi ya kiislam..![]()
ngoja nipambane
sina babaBaba huna!?