Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Kama ni Muslim nenda Dar hivi majuzi nmesoma pahala kulikua kuna ofa (sijui bado ipo) ya kulipiwa mahar kwa vijana wote ambao wameshindwa kuoa kwa sababu za kukosa mahar
emoji23.png
emoji23.png
mchakato mzima wa ndoa utasimamiwa na hiyo taasisi ya kiislam..
Mkuu kwenda huko hapana.
ngoja nipambane
Baba huna!?
sina baba
 
HAPANA HAPANA HAPANA

NAKOJOA MDA WOWOTE ULE, BAO ZOZOTE ZILE BILA KULIPA HETA SENTI, BILA KUGUSA UTI

ISHI MILELE BABYCARE
Nimekuona kule uzi wa tech kwamba jf imekopiwa, unashusha nondo na codes nikawa najisemea akimaliza coding anatafta kopo liko wapi 😂😂 u cant be serious, nataka nikupe pande kwa kungwi moja nalijua personally.
 
C/C++ for life

akili ikichoka, navuta Caresons tena iko kulia mwa meza chap
nafungua video chokozi ya sierra nicole na ella knox, namwaga
naendelea na coding
 
Back
Top Bottom