Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mkuu kwenda huko hapana.Kama ni Muslim nenda Dar hivi majuzi nmesoma pahala kulikua kuna ofa (sijui bado ipo) ya kulipiwa mahar kwa vijana wote ambao wameshindwa kuoa kwa sababu za kukosa maharmchakato mzima wa ndoa utasimamiwa na hiyo taasisi ya kiislam..
sina babaBaba huna!?
Sijaolewa kwa sababu ananiambia Kuna issue anasikilizia[emoji1787]Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
Mi nakutaka kupitia ujumbe huu unitoe kwenye jopo la wanazuoni wakataa ndoa nirudi kundiniSijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Wazazi hao wanaishi wapi niwapakie kabisa kwenye kibajaji changu cha rohoni wakaishi mbinguni kwa kukulea kwa maadili safi hivyo?Sijaolewa kwa sababu naishi nyumbani na wazazi wakiniona tu na mkaka ni kosa la jinai, [emoji846]
HAPANA HAPANA HAPANAvaseline
Nimekuona kule uzi wa tech kwamba jf imekopiwa, unashusha nondo na codes nikawa najisemea akimaliza coding anatafta kopo liko wapi ππ u cant be serious, nataka nikupe pande kwa kungwi moja nalijua personally.HAPANA HAPANA HAPANA
NAKOJOA MDA WOWOTE ULE, BAO ZOZOTE ZILE BILA KULIPA HETA SENTI, BILA KUGUSA UTI
ISHI MILELE BABYCARE
Nimekuona kule uzi wa tech kwamba jf imekopiwa, unashusha nondo na codes nikawa najisemea akimaliza coding anatafta kopo liko wapi ππ u cant be serious, nataka nikupe pande kwa kungwi moja nalijua personally.
π jitihada zangu zimefika ukingoni, sema hutamani wewe ndo ungekua unambandua ella physically?View attachment 2587956
C/C++ for life
akili ikichoka, navuta Caresons tena iko kulia mwa meza chap
nafungua video chokozi ya sierra nicole na ella knox, namwaga
naendelea na coding
hapana, mpaka siku waue kiwanda cha Mamujee Tangaπ jitihada zangu zimefika ukingoni, sema hutamani wewe ndo ungekua unambandua ella physically?
Bakini na useja wenuπKi ukweli mabinti wa kisasa ni changamoto sana.. Wengi wao sio wife materials mbaya zaidi wana tabia ambazo ni too risk akiingia nazo ndoani hata hazirekebishiki kirahisi!
Kwa wanawake ndo imetawala....usistaduu mwingiiiSijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Ndio nilazima kjnππ
Sahihi kabisa50% ya Me ni uchumi maana iliandikwa Me ale kwa jasho (kazi) na Ke azae kwa uchungu (malezi bora ya Watoto).
20% Ke wapo kimaslahi zaidi kuliko upendo wa dhati.
20% Haki sawa & Feminism.
10% Mengineyo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Usifanye ivo.... wanawake sahihi wapo mkuuSahihi kabisa