Inshaallah....utampata tu..Kusema ukweli kabisa sijakutana na wa kufanana naye..
Ila huu mwaka hauishi!
Naamini hivyo...Usifanye ivo.... wanawake sahihi wapo mkuu
Unaume saratani ya uongo wewe.Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Hiki kiporo hakihitaji moto mwingi, sasa kaenda kuolewa sababu ya presha ya wazazi wakati bado anakuzimia hivo, pesa zinatafutwa tu muhimu angeolewa na mtu sahihi ambaye anampenda. Kuwa makini mkuu mke wa mtu sumu.
ππMke wangu Safari Lager πΊ anangaa kama dhahabu, hana tabu na mimi kwake yeye ndie muhibu. Yupo kichwani navuta zangu sharubu. Oohh babie mgaro kibanda cha nyasi leo kesho weekend mabusu mpaka basi.π€£
Yani hii mbinu ni muhimu mnooo kwa kijana yyte unaejitafuta. Sio kwamba nimejipata. Ila kesho yng iko poa kiasi.Mimi ni mfuasi wa pesa na maendeleo kabla ya mapenz ,kijana tafuta kwanza mafanikio mapnzi yapo tu .
Bado nipo nipo kwanzaSababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?
[emoji16]Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.
Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapata wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
Huna ushawishiSijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Hapo kwenye sisi wanaume kutokupenda majukumu embu fafanua msmimi30Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Wa kubembeleza hivi mnawapataga wapi? π
Wewe unadeti na wanavyuo au wanafunzi kama sio masharobaro na mamarioo au mabishoo... Au huenda unatoka na wavulana ambao bado wanategemea mlo kutoka kwa wazazi... Kuna wanaume wengi tu wanajielewa na wanajua kukaa na mwanamke ni vile tu wanakutana na maslay queens na golddiggers huko wanawaingiza mkenge...Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Kabsa mkuuYani hii mbinu ni muhimu mnooo kwa kijana yyte unaejitafuta. Sio kwamba nimejipata. Ila kesho yng iko poa kiasi.
Inatokeaga mara moja moja mkuuπ π πWa kubembeleza hivi mnawapataga wapi? π
Kwanini hadi ukatelekeza ID mkuu? PoleπInatokeaga mara moja moja mkuuπ π π
nishawahi kuahidiwa kupewa milioni 1 na dada mmoja hivi ili nimuoe... alukua ananizidi miaka 7..
Back in days nikiwa naishi Tabata aroma na yeye yuko kinyerezi mwisho.
Alikuwaga yuko na upweke sana huyo mwanamke..
mwingine wa JF humu humu (huyu alusababisha nikatelekeza ID yangu ya mwaka 2010πππ)