Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sababu ipi inakufanya mpaka sasa haujaolewa au kuoa? Ni kweli haujampata wa kufanana naye au kukwepa majukumu tu?

Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Unaume saratani ya uongo wewe.
Wenzako walioolewa ni wajinga sio?
Sema huna mvuto
Huna tako
Na akili ndio hivyo nani abebe mzigo?
 
Yani ni kugusa tu..
sema wazazi ndio walizingua..
mpaka wa leo analia arudiView attachment 2587874
Hiki kiporo hakihitaji moto mwingi, sasa kaenda kuolewa sababu ya presha ya wazazi wakati bado anakuzimia hivo, pesa zinatafutwa tu muhimu angeolewa na mtu sahihi ambaye anampenda. Kuwa makini mkuu mke wa mtu sumu.
 
Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Wewe unadeti na wanavyuo au wanafunzi kama sio masharobaro na mamarioo au mabishoo... Au huenda unatoka na wavulana ambao bado wanategemea mlo kutoka kwa wazazi... Kuna wanaume wengi tu wanajielewa na wanajua kukaa na mwanamke ni vile tu wanakutana na maslay queens na golddiggers huko wanawaingiza mkenge...

Alafu cha kukusaidia kama unataka ndoa acha kua serious sana unapokua na mwanaume, ila fanya mwanaume mwenyewe atangaze ndoa mwenyewe tu si atakuona u're wife materials ila kama na wewe unaenda na zile gia zenu na maswali ya kisichana za "Eti baby malengo ya mahusiano yetu ni nini? Sijui lini utanitambulisha kwenu? Aaah haya maswali huwa hatuyapendi wallah!
 
Wa kubembeleza hivi mnawapataga wapi? 🙄
Inatokeaga mara moja moja mkuu😅😅😅
nishawahi kuahidiwa kupewa milioni 1 na dada mmoja hivi ili nimuoe... alukua ananizidi miaka 7..

Back in days nikiwa naishi Tabata aroma na yeye yuko kinyerezi mwisho.

Alikuwaga yuko na upweke sana huyo mwanamke..

mwingine wa JF humu humu (huyu alusababisha nikatelekeza ID yangu ya mwaka 2010😂😂😂)
 
Kwanini hadi ukatelekeza ID mkuu? Pole😀
 
Back
Top Bottom