Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apana mkuu siwez lia kabsa mkuu, nilisubiri ili niweze kumtunza kumlea kama mtoto wangu wa kwnza [emoji4][emoji4]nasuburia uzi wako wa vilio [emoji23]
Maumivu makubwa sanaNina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
si unaona....bado mnapendana 😂futa hizo message na call log utapata matatizo ya moyo😂
UsitupangieSijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
aiseee mkuu hapa kuna maumivu makali sana duuuuh haya mambo haya.Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachan
View attachment 2587862
Wanaume tuna upendo sanaNina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
NAKAZIA HAPA.Ki ukweli mabinti wa kisasa ni changamoto sana.. Wengi wao sio wife materials mbaya zaidi wana tabia ambazo ni too risk akiingia nazo ndoani hata hazirekebishiki kirahisi!
Haujapata kazi au unachagua kazi?Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana[emoji29][emoji29][emoji29]
View attachment 2587862
[emoji16][emoji16]Mke wangu Safari Lager [emoji481] anangaa kama dhahabu, hana tabu na mimi kwake yeye ndie muhibu. Yupo kichwani navuta zangu sharubu. Oohh babie mgaro kibanda cha nyasi leo kesho weekend mabusu mpaka basi.[emoji1787]