oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 731
- 1,367
Oyaaa[emoji3][emoji119]Pesa bado haijatosha
Mpaka ninunue subaru forester
pesa ikibaki ndio tutaangalia
kama inatosha kuhudumia subaru
na kiumbe mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaa[emoji3][emoji119]Pesa bado haijatosha
Mpaka ninunue subaru forester
pesa ikibaki ndio tutaangalia
kama inatosha kuhudumia subaru
na kiumbe mwingine
Huo ni mtego, shtuka.
Sema hujapata Mwanaume hizo sababu hazina mashikoNakimbiwa eti nina maumbile makubwa..
Sijaolewa na sidhani kama ntaolewa maana wanaume wengi bado hawajakuwa kiakili, hawapendi majumu na kiufupi hawajui kuishi na mwanamke. Utoto umewajaa mtu yuko na mtu lakini anataka kuishi kama yuko single huo si mtihani
Mimi mwanaume nipateje tena mwanaume aiseehSema hujapata Mwanaume hizo sababu hazina mashiko
Na tulio tafutwa inakuwajeYani hii mbinu ni muhimu mnooo kwa kijana yyte unaejitafuta. Sio kwamba nimejipata. Ila kesho yng iko poa kiasi.
Mimi mtaani wananiulizaga atakuoa baba yako anavokubana ivo? Huwa napata chamgamoto sana unakuta una mwanaume ila muda wa kuonana nae ni mdogo na mbaya zaidi unakuta mwanaume hajielewi yaan ushamwambia hali ya kwenu ye anafosi utoke tuu au utoroke au ukalale kwake ivii kweeli mwanaume mtu mzima unashauri mwanamke wako atoke usiku yaan atoroke ili tuu mlale wote afu agombane na wazazi wake.Sijaolewa kwa sababu naishi nyumbani na wazazi wakiniona tu na mkaka ni kosa la jinai, [emoji846]
So wewe huwa unatakaje ndoa au unataka mfumo gani wa mahusiano??Mimi mtaani wananiulizaga atakuoa baba yako anavokubana ivo? Huwa napata chamgamoto sana unakuta una mwanaume ila muda wa kuonana nae ni mdogo na mbaya zaidi unakuta mwanaume hajielewi yaan ushamwambia hali ya kwenu ye anafosi utoke tuu au utoroke au ukalale kwake ivii kweeli mwanaume mtu mzima unashauri mwanamke wako atoke usiku yaan atoroke ili tuu mlale wote afu agombane na wazazi wake.
Mi huwa napotezea takataka isiyojali mazingira yangu. Mtu unamwambia sijawai lala nje ya kwetu unakuta linataka kufosi muujiza, mxéew shameles.
Ndoa kwa kufuata utaratibuSo wewe huwa unatakaje ndoa au unataka mfumo gani wa mahusiano??
Kabla ya ndoa Kuna maisha na huyo mpenzi wako ndio umeoewa nafasi wewe unataka mfumo gani wa Mapenzi yaendaje??Ndoa kwa kufuata utaratibu
Fungua code ya hiyo namba sis twende tukaoe😀😀Nina miaka 30
napatikana mwanza
sijaoa kwa sababu mahari sina, pia sijapata kazi.
niliwahi kuishi na binti wa watu kwa mkopo wakwe zangu wakanisumbua sana mpaka tukaachana😓😓😓
View attachment 2587862
Sijaoa kwasababu mwanamke wa kuendana na mimi katika kizazi hiki cha kidijitali hayupo.
Naishia kukutana na wanawake wanaojichatisha ovyo na maex. Nikikomaa sana nawapata wale paka mapepe wanaogawa namba ovyo kila kona. Kwa kifupi sioi ng'o!
sijaoa kwasababu naona sana mapito magumu wanaume wenzangu wanapitia baada ya kuoa.