mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile.
Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo fursa ?
Mamlaka ziliona hawa wa miguu hata wakiingia bure hawawezi kuiba na kutumia skills za wachezaji.
Mtu mwenye miguu akiangalia mpira kama umri wake ni mdogo,anaweza kutumia hayo maarifa kuja kuwa mchezaji mzuri tu,au anawwza kusomea ukocha au hata urefarii nk
Mtu mwenye ulemavu hawezi kutumia hizo fursa yoyote akiangalia mpira zaidi ya burudani.
Kwa nini siku hizi mnawazuia?