Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Mimi nadhani hutakiwi kwenda uwanjani maana ni hatari kwako. Kuna wakati zinatokea vurugu nani atakusaidia?Mimi ni mtu nisiyeona, suala la kuingia uwanjani, mfano uwanja wa taifa, ule kwa mkapa pale lupaso bure kwa watu wenye ulemavu huwa linategemeana na game. mfano ili mechi ya simba na waydad casablanca mimi nilienda. ile mechi ambayo simba alishinda goli moja bila kwenye hatua ya robo fainali nilikwenda. lakini, kwa mfano ile mechi ya yanga aliyocheza fainali ya kombe la shirikisho la afrika ilikuwa ngumu kuruhusiwa, kwa sababu wanadai kwamba wameuza tiketi zote. kwa hiyo mara nyingi huwa tunaona ni usumbufu tu ni bora ununue tiketi ingawaje kuingia bure unaweza sasa shida inakuja kuanza kuzungushwa kwenda geti hili kwenda geti lile tunaona ni usumbufu
Sikiliza kwenye radio.