Kwanini wasibaki nyumbaniMiaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile.
Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo fursa ?
Mamlaka ziliona hawa wa miguu hata wakiingia bure hawawezi kuiba na kutumia skills za wachezaji.
Mtu mwenye miguu akiangalia mpira kama umri wake ni mdogo,anaweza kutumia hayo maarifa kuja kuwa mchezaji mzuri tu,au anawwza kusomea ukocha au hata urefarii nk
Mtu mwenye ulemavu hawezi kutumia hizo fursa yoyote akiangalia mpira zaidi ya burudani.
Kwa nini siku hizi mnawazuia?
Mimi ni mtu nisiyeona, suala la kuingia uwanjani, mfano uwanja wa taifa, ule kwa mkapa pale lupaso bure kwa watu wenye ulemavu huwa linategemeana na game. mfano ili mechi ya simba na waydad casablanca mimi nilienda. ile mechi ambayo simba alishinda goli moja bila kwenye hatua ya robo fainali nilikwenda. lakini, kwa mfano ile mechi ya yanga aliyocheza fainali ya kombe la shirikisho la afrika ilikuwa ngumu kuruhusiwa, kwa sababu wanadai kwamba wameuza tiketi zote. kwa hiyo mara nyingi huwa tunaona ni usumbufu tu ni bora ununue tiketi ingawaje kuingia bure unaweza sasa shida inakuja kuanza kuzungushwa kwenda geti hili kwenda geti lile tunaona ni usumbufuMiaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile.
Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo fursa ?
Mamlaka ziliona hawa wa miguu hata wakiingia bure hawawezi kuiba na kutumia skills za wachezaji.
Mtu mwenye miguu akiangalia mpira kama umri wake ni mdogo,anaweza kutumia hayo maarifa kuja kuwa mchezaji mzuri tu,au anawwza kusomea ukocha au hata urefarii nk
Mtu mwenye ulemavu hawezi kutumia hizo fursa yoyote akiangalia mpira zaidi ya burudani.
Kwa nini siku hizi mnawazuia?
Nasikia ulikuwa unamtumia huyu rafiki yako kuingia bure uwanjani kwa kujifanaya unasukuma baiskeli yake.Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
YeAh ndio maanA tunalipAHuo ni unyanyapaa. Kwani kuwa mlemavu kunamkosesha mtu hela ya kiingilio, mpaka aingie uwanjani bure?
Ulionaje mechiMimi ni mtu nisiyeona, suala la kuingia uwanjani, mfano uwanja wa taifa, ule kwa mkapa pale lupaso bure kwa watu wenye ulemavu huwa linategemeana na game. mfano ili mechi ya simba na waydad casablanca mimi nilienda. ile mechi ambayo simba alishinda goli moja bila kwenye hatua ya robo fainali nilikwenda. lakini, kwa mfano ile mechi ya yanga aliyocheza fainali ya kombe la shirikisho la afrika ilikuwa ngumu kuruhusiwa, kwa sababu wanadai kwamba wameuza tiketi zote. kwa hiyo mara nyingi huwa tunaona ni usumbufu tu ni bora ununue tiketi ingawaje kuingia bure unaweza sasa shida inakuja kuanza kuzungushwa kwenda geti hili kwenda geti lile tunaona ni usumbufu
Nmesjindwa kureact ila ni swali zuri pia anacharaza mwandiko vizuri je ni kweli ni disabled au anatucharaziaUlionaje mechi
Matani tu mkuu, hahaahNani angemsukuma sasa
Anaendaga kushangilia mfatilie aliisha lizungumziaga.Ulionaje mechi
Kwa muda mrefu aliisha lielezea Hilo hata vifaa anavyotumia, Jinsi vinavyomuwezesha fatilia post zake..InterestedNmesjindwa kureact ila ni swali zuri pia anacharaza mwandiko vizuri je ni kweli ni disabled au anatucharazia
Swali zuri... hua hatuoni mechi, ilaa unakua na msindikizaji wako anakupa details za kila tukio linalotokea uwanjani. Dhumuni ni kushabikia timu sio kuona.Ulionaje mechi
Nilishajibu hili swali fuatilia post zangu.Nmesjindwa kureact ila ni swali zuri pia anacharaza mwandiko vizuri je ni kweli ni disabled au anatucharazia
Zhukrani mkuu.Anaendaga kushangilia mfatilie aliisha lizungumziaga.
Kwa muda mrefu aliisha lielezea Hilo hata vifaa anavyotumia, Jinsi vinavyomuwezesha fatilia post zake..Interested
Sjaona mkuu nmeangalia feeds zako sjaonaNilishajibu hili swali fuatilia post zangu.
Nimekutumia picha yangu .umeona nilivo mrembo?? Nipe maksiNilishajibu hili swali fuatilia post zangu.
DIABOLICALKwanini wasibaki nyumbani