Sababu ipi wenye ulemavu wa miguu siku hizi hawaingii uwanjani bure?

Mimi nadhani hutakiwi kwenda uwanjani maana ni hatari kwako. Kuna wakati zinatokea vurugu nani atakusaidia?
Sikiliza kwenye radio.
 
Swali zuri... hua hatuoni mechi, ilaa unakua na msindikizaji wako anakupa details za kila tukio linalotokea uwanjani. Dhumuni ni kushabikia timu sio kuona.
Na smart phone unawezaje kuandika na kusoma
 
Mkuu kama una tatizo la kuona mbona unaandika na kujibu hoja humu JF au kuna device unatumia?
 
Mimi nadhani hutakiwi kwenda uwanjani maana ni hatari kwako. Kuna wakati zinatokea vurugu nani atakusaidia?
Sikiliza kwenye radio.
Hatari iko kila shm. Lakini asante kwa kujali. Hatupaswi kutulia ndani tu. Huwa siendi alone.
 
Na smart phone unawezaje kuandika na kusoma
Nilijibu katika uzi huu.
 
Ulemavu sio ugonjwa
Kuna walemavu wamewazidi maarifa nA kipato wale tunaojiona wakamilifu
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwenye timamu ya viungo na mlemavu wa kiungo kimojawapo, utasema hivyo kwasababu hauna mlemavu kwenye familia yako. Shukuru Mungu
 
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwenye timamu ya viungo na mlemavu wa kiungo kimojawapo, utasema hivyo kwasababu hauna mlemavu kwenye familia yako. Shukuru Mungu
Hebu eleza vizuri hapa. Ulemavu upi kwa mfano.
 
Swali zuri... hua hatuoni mechi, ilaa unakua na msindikizaji wako anakupa details za kila tukio linalotokea uwanjani. Dhumuni ni kushabikia timu sio kuona.
si bora usikilize redioni au tv? Ya nini umtese mtu awe dj wako kwenye umai mkubwa wa watu,unaingiaje jf na kufuatilia comments?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…