Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiiona clip hii utakubaliana nami kuwa watu kuisemea mabaya Taifa Stars sio jambo la ajabu.
Paulo Makonda aka Daud Bashite ni mvurugaji wakipimo cha juu kabisa.
View attachment 1140371
Nakuunga mkonoHarambee Stars, nawatakia ushindi mnono.
Anza kujitia madole kabisaCCM Stars 0 Harambee Stars 3
Hahahaa....... Jichungulie mkuu!CCM Stars 0 Harambee Stars 3
Utaumbuka!Harambee Stars, nawatakia ushindi mnono.
Utaumbuka!
Tusubiri tutaona!Mechi haiishi dk ya 30 ni hadi 90. Hata hivyo bado nawatakia ushindi mnono Harambee Stars.
Tusubiri tutaona!
Anza kujipekenyua kabisa maana mmetiwa cha piliMechi haiishi dk ya 30 ni hadi 90. Hata hivyo bado nawatakia ushindi mnono Harambee Stars.
Ulikuwa unatafuta uthibitisho wa aliyesema taifa stars ni ya ccm umeupata?Anza kujitia madole kabisa
Mashetani machache ya hapa jf hayawezi kufanya stars isishindeDAB simuelewi ila naona Mission yake inafanikiwa.
Kenya wepesi, DAB aliona hili akajitengenezea mazingira sasa Kazi ajiandae.
TehMashetani machache ya hapa jf hayawezi kufanya stars isishinde