Sababu kama hii ndio sababu ya watu kugawanyika juu ya Stars

Sababu kama hii ndio sababu ya watu kugawanyika juu ya Stars

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Ukiiona clip hii utakubaliana nami kuwa watu kuisemea mabaya Taifa Stars sio jambo la ajabu.
Paulo Makonda aka Daud Bashite ni mvurugaji wakipimo cha juu kabisa.
 
DAB simuelewi ila naona Mission yake inafanikiwa.

Kenya wepesi, DAB aliona hili akajitengenezea mazingira sasa Kazi ajiandae.
 
Back
Top Bottom