Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu.
Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu
Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana

Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
 
Mbona kanda ya ziwa kuna zaidi ya makabila 40 wewe umeona kina ngosha tu ili utekaji wa watoto umetamalaki nchi nzima
 
Mleta mada utakuwa na matatizo!

Kanda ya ziwa ni Mkusanyiko wa mikoa 5

1.Mara
2.Mwanza
3.Simiyu
4.Shinyanga
5.Kagera

Sasa unawezaje kusema kina "Ngosha"? Wanakuangusha?,Ina maana mikoa hiyo yote Niya wasukuma?

Halafu pia ilipaswa useme huo utekaji unafanyika mkoa gani kati ya niliyoitaja,siyo unakuja na Ujumla wake!

Hajielewi huyo. Halafu matukio mengi yapo Daslam Kwa Sasa. Atakuwa na jambo lake binafisi na wasukuma
 
Mleta mada utakuwa na matatizo!

Kanda ya ziwa ni Mkusanyiko wa mikoa 5

1.Mara
2.Mwanza
3.Simiyu
4.Shinyanga
5.Kagera

Sasa unawezaje kusema kina "Ngosha"? Wanakuangusha?,Ina maana mikoa hiyo yote Niya wasukuma?

Halafu pia ilipaswa useme huo utekaji unafanyika mkoa gani kati ya niliyoitaja,siyo unakuja na Ujumla wake!
Nimetoa Ngosha kama kiwakilishi tu cha kanda ya ziwa.Ulishawahi sikia yale mauji ya Shinyanga mwaka 1974 najua ulikuwa hujazaliwa.Umeshawahi kuona mkoa wa Kilimanjaro au Arusha kuna vituo vya kulelea wazee hapa najua serikali ina nia nzuri ila hasa ukiangalia wazee waliotelekezwa na familia zao kisa eti ni wachawi wamesahau kuwa ukizeeka na Moshi wa kuni na mavi ya ngombe yakichomwa macho yanakuwa mekundu.
Umeshawah sikia mkoa wa Kilimanjaro na Arusha issue za kuua albino?
Huku kanda ya ziwa nimeshawahi sikia watu wakisema hawa ma albino huwa wanapoteaga hivi hivi nilikuwa sielewi maana yake nilikuja kuelewa haya mambo yalivyoanza kwa kasi mikoa ya kilimanjaro na Arusha Albino wanakufa na uzee wao na wengine wana maendeleo makubw na darasan wako vizuri mno.

Najua nimewagusa kwenye mshono lakini hili ni jambo la kitaifa lazima tukemee.Ajabu hata ule mkoa tunaowaiata nshomile nao wanafanya ujinga huu
Najua nitawakwaza wengi lakini nimeona nitumie jukwaa hili kukemea vikali ukatili huu mtanisamehe
 
Back
Top Bottom