NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Mbona kanda ya ziwa kuna zaidi ya makabila 40 wewe umeona kina ngosha tu ili utekaji wa watoto umetamalaki nchi nzimaMnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu.
Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu
Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana
Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
Hajielewi huyo. Halafu matukio mengi yapo Daslam Kwa Sasa. Atakuwa na jambo lake binafisi na wasukumaMleta mada utakuwa na matatizo!
Kanda ya ziwa ni Mkusanyiko wa mikoa 5
1.Mara
2.Mwanza
3.Simiyu
4.Shinyanga
5.Kagera
Sasa unawezaje kusema kina "Ngosha"? Wanakuangusha?,Ina maana mikoa hiyo yote Niya wasukuma?
Halafu pia ilipaswa useme huo utekaji unafanyika mkoa gani kati ya niliyoitaja,siyo unakuja na Ujumla wake!
Alipewa mimba na msukuma halafu akatelekezwa, so hasira zote kwa kina ngoshaHajielewi huyo. Halafu matukio mengi yapo Daslam Kwa Sasa. Atakuwa na jambo lake binafisi na wasukuma
Nimetoa Ngosha kama kiwakilishi tu cha kanda ya ziwa.Ulishawahi sikia yale mauji ya Shinyanga mwaka 1974 najua ulikuwa hujazaliwa.Umeshawahi kuona mkoa wa Kilimanjaro au Arusha kuna vituo vya kulelea wazee hapa najua serikali ina nia nzuri ila hasa ukiangalia wazee waliotelekezwa na familia zao kisa eti ni wachawi wamesahau kuwa ukizeeka na Moshi wa kuni na mavi ya ngombe yakichomwa macho yanakuwa mekundu.Mleta mada utakuwa na matatizo!
Kanda ya ziwa ni Mkusanyiko wa mikoa 5
1.Mara
2.Mwanza
3.Simiyu
4.Shinyanga
5.Kagera
Sasa unawezaje kusema kina "Ngosha"? Wanakuangusha?,Ina maana mikoa hiyo yote Niya wasukuma?
Halafu pia ilipaswa useme huo utekaji unafanyika mkoa gani kati ya niliyoitaja,siyo unakuja na Ujumla wake!