Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

Deals na endorsement zinatafutwa pia ujue. Usizani unakaa tu kisa wee msanii mkubwa basi zitakufata.[emoji3][emoji3] Zitafute nyingi kisha kula Percentage yako, Ni Ngumu sana kula hii Cake kwa 100% pekee yako hasa ukiwa msanii ambaye huna Loyal fanbase kubwa..
Binafsi, naona kibiashara ni bora kuwekeza kwa Harmonize yuko active na anajua kujimix kutafuta makeke na headlines. Ambazo ni nzuri kibiashara... Alikiba yupo Tuli sana. Yaani tuliiiii sana. entertainment industry inahitaji makeke na hamsha hamsha.
Upo vzr sana, nimependa maelezo yako
 
Back
Top Bottom