Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria?
Mwanamke na mwanaume ambao ni wanandoa wanapigana-ugomvi wa kawaida, baada ya kufika kwenye chombo cha sheria ghafla chombo cha sheria kinaangukia upande wa mwanamke.
Mwanafunzi wa kiume, 17, amempa mimba mwanafunzi wa kike,17, hukumu imetolewa kwa mwanafunzi wa kiume kwa kupata kifungo cha nje cha miezi 12. Kwanini wasidakwe wote na kutiwa ndani, binti aishi huko jela na kipindi cha ujauzito apewe caring na kumnyonyesha binti yake kwa miaka miwili then baada ya hapo mtoto wa huyo binti arudishwe mtaani?
All in all, it 's just an eejit topic. Wanaume tunakanyagwa sana asa mbele ya Sheria, jambo la msingi ni kuwa smart. Hamna anayejali Ustawi wa mwanaume zaidi ya mwanaume mwenyewe.
Muwe na Jumapili njema 🫡