Sababu kubwa inayomfanya mwanamke aonekane kama victim mbele ya sheria ni ipi?

Ugandamizaji unaofanya na mfumo wa kiislamu dhidi ya wanawake ndiyo huo huo ugandamizaji unaofanywa na mfumo wa Kikisto dhidi ya wanaume ni kinyume chake tu ....utafahamu tu ukiwa na Akili
 
Kwa sababu bado Ipo dhana kuwa Wanawake siô Watu Bali Bidhaa au Wanyama.

Hivyo Kisheria Mtu na Bidhaa Wana hadhi tofauti.. ingawaje watakataa ukweli huu.

Ikifika hatua Mwanamke akawa Mtu kama Mwanaume Swali Lako automatically litakuwa halipo
 
Hiyo ndio "sheria" wayopambania hawa wanaharakati wa mchongo.
 
Kuna wajinga miaka ya nyuma walioshika madaraka mapema ndio waliotengeneza hayo mambo awali
 
Hii 50/50 wanaipambania wakina nani mbele ya wanaume? Hizi mambo za hovyo kweli aisee?
 
Kwa sababu bado Ipo dhana kuwa Wanawake siô Watu Bali Bidhaa au Wanyama.

Hivyo Kisheria Mtu na Bidhaa Wana hadhi tofauti.. ingawaje watakataa ukweli huu.

Ikifika hatua Mwanamke akawa Mtu kama Mwanaume Swali Lako automatically litakuwa halipo
Jawabu lililobaki ni kuendelea kuwaweka wanawake kwenye kundi la bidhaa na kuwatumia mpaka mwisho. Tusipate maumivu kwa ajili ya wanawake.
 
Maswali mbona nimejibu ...waisiharamu wa sasa wanalazimisha ikabu hadi kwa wasichana wasio na ndoa na kusababisha ushoga kuongezeka ... wana jiona wao ni waislamu kuliko mungu na mtume wake
nilidhan una hoja kumbe ni matusi tu na chuki iliyokujaa, nikuongeze tu kuwa hakuna dini iliyompa thamani mtoto wa kike na mwanamke zaid ya uislamu, shida yenu munataka kila mtu aishi kama wazungu ndio munapokosea hapo, ufuatilie uislamu kwa waislam achana na maneno ya mashabiki wa uislamu. (allah akuongoze)
 
Nchi zilizoendelea pesa zote za familia anapokea mwanamke .mfumo umewalenga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…