Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine.
Iko hivi.
Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu wengine.
Hii ndio sababu kubwa kwanini tunashindwa kubarikiwa (kuendelea). Imagine wewe una connection na mizimu ya kwenu ambayo imeibariki vizazi vyako miaka malefu nenda rudi.
Halafu all of a sudden unaanza kuiomba miungu ya kiarabu na kizungu ambayo haupo hata kwenye mifumo yao. Unafikiri utapata baraka?
Umeacha kuabudu miungu ya kwenu. Umeacha kuomba muongozo wa mababu zako. Umeacha kutumia majina ya kwenu siku hizi unajiita John Stephano (The Mongolian Savage ) wakati mizimu ya kwenu inajua unaitwa Kishabo Milia Unafikiri utakaa uendelee?
Angalia nchi kama za Orient (far East) namaanisha Japan, China, Korea n.k. Unadhani kwanini zimeweza kuendelea?
Ni kwasababu hawajaacha zile mila na tamaduni zao za asili. Hawajaacha lugha zao au majina yao. Ndio maana wakiiomba mizimu yao mambo yanakubali.
Sasa wewe unajiita mfano mimi Francisco na kwenye mababu zako hakuna jina hilo ukiomba miungu ya wazungu na waarabu baraka unatoa wapi?
Hata ukienda kufanya tambiko kwenu jina linatajwa Jonh, Peter, Mohamed n.k mizimu ya kwenu iki search kwenye database yenu inapata reponse ERROR FILE NOT FOUND watambariki Jonh wa wapi ambae kwao hayupo?
Tubadilike turudie tamaduni na mila na mababu na mizimu yetu. La sivyo tutaendelea kulaumiana kuwa tumelogwa na kumtafuta mchawi ni nani kumbe ni sisi wenyewe.