Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Aisee Chaliifrancisco shikamoo kwa hili, umeongea point kabisa na bahati mbaya akili za Waafrika wengi bado zimeganda wanashindwa kugundua hili. Nashangaa mtu anashindwa kujiuliza kabisa iweje achangishe hela aende Israel kubusu ukuta au Uarabuni kushika jiwe wakati mizimu yake iko hapa hapa Afrika. Hizi dini za kuletewa ni laana tupu kwetu Waafrika na ndizo zinazotuletea ubaguzi wa kijinga, Juma hawezi kuoa Esther ama Josepehine hawezi olewa na Rashidi kisa dini na wakati wanapendana. Ni ujinga mtupu.Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine.
Iko hivi.
Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu wengine.
Hii ndio sababu kubwa kwanini tunashindwa kubarikiwa (kuendelea). Imagine wewe una connection na mizimu ya kwenu ambayo imeibariki vizazi vyako miaka malefu nenda rudi.
Halafu all of a sudden unaanza kuiomba miungu ya kiarabu na kizungu ambayo haupo hata kwenye mifumo yao. Unafikiri utapata baraka?
Umeacha kuabudu miungu ya kwenu. Umeacha kuomba muongozo wa mababu zako. Umeacha kutumia majina ya kwenu siku hizi unajiita John Stephano (The Mongolian Savage ) wakati mizimu ya kwenu inajua unaitwa Kishabo Milia Unafikiri utakaa uendelee?
Angalia nchi kama za Orient (far East) namaanisha Japan, China, Korea n.k. Unadhani kwanini zimeweza kuendelea?
Ni kwasababu hawajaacha zile mila na tamaduni zao za asili. Hawajaacha lugha zao au majina yao. Ndio maana wakiiomba mizimu yao mambo yanakubali.
Sasa wewe unajiita mfano mimi Francisco na kwenye mababu zako hakuna jina hilo ukiomba miungu ya wazungu na waarabu baraka unatoa wapi?
Hata ukienda kufanya tambiko kwenu jina linatajwa Jonh, Peter, Mohamed n.k mizimu ya kwenu iki search kwenye database yenu inapata reponse ERROR FILE NOT FOUND watambariki Jonh wa wapi ambae kwao hayupo?
Tubadilike turudie tamaduni na mila na mababu na mizimu yetu. La sivyo tutaendelea kulaumiana kuwa tumelogwa na kumtafuta mchawi ni nani kumbe ni sisi wenyewe.
Mkuu, umenena kabisa. Waafrika kwa kweli tunahitaji maombi ili turudi kwa mizimu yetu tubarikiwe. It makes no sense mwafrika kwenda Israel kushika ukuta au Uarabuni kubusu na kushika jiwe. Kule ni mizimu ya watu wengine wasiotuhusu tunafuata nini huko kama si ujinga na kutojitambua akili?Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine.
Iko hivi.
Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu wengine.
Hii ndio sababu kubwa kwanini tunashindwa kubarikiwa (kuendelea). Imagine wewe una connection na mizimu ya kwenu ambayo imeibariki vizazi vyako miaka malefu nenda rudi.
Halafu all of a sudden unaanza kuiomba miungu ya kiarabu na kizungu ambayo haupo hata kwenye mifumo yao. Unafikiri utapata baraka?
Umeacha kuabudu miungu ya kwenu. Umeacha kuomba muongozo wa mababu zako. Umeacha kutumia majina ya kwenu siku hizi unajiita John Stephano (The Mongolian Savage ) wakati mizimu ya kwenu inajua unaitwa Kishabo Milia Unafikiri utakaa uendelee?
Angalia nchi kama za Orient (far East) namaanisha Japan, China, Korea n.k. Unadhani kwanini zimeweza kuendelea?
Ni kwasababu hawajaacha zile mila na tamaduni zao za asili. Hawajaacha lugha zao au majina yao. Ndio maana wakiiomba mizimu yao mambo yanakubali.
Sasa wewe unajiita mfano mimi Francisco na kwenye mababu zako hakuna jina hilo ukiomba miungu ya wazungu na waarabu baraka unatoa wapi?
Hata ukienda kufanya tambiko kwenu jina linatajwa Jonh, Peter, Mohamed n.k mizimu ya kwenu iki search kwenye database yenu inapata reponse ERROR FILE NOT FOUND watambariki Jonh wa wapi ambae kwao hayupo?
Tubadilike turudie tamaduni na mila na mababu na mizimu yetu. La sivyo tutaendelea kulaumiana kuwa tumelogwa na kumtafuta mchawi ni nani kumbe ni sisi wenyewe.
Baki hapo hapo sasa. Huyo mungu umeletewa juzi tu hapo wala hujui chimbuko lakeMh..miungu haisaidii chochote katika maisha haya... zaidi ya Mungu
Wazungu ni wasanii mkuu. Wao walituletea kuabudu miungu feki ila wao hawaiabudu wao wana tamaduni zao na ni siri zao ndio maana wanafanikiwa kila sikuwazungu pia mkuu waliacha mizimu wakaanza kuabudu miungu ya mashariki ya kati yenye connection na afrika kuliko ulaya , sema hapo kwenye majina ndio tumepotea mazima yan watu hawatak kabisa kuitwa Dudukwe
Ndio babu zetu walikuwa na maendeleo. Ndio maana waliweza kumiliki mali nyingi mifugo na mashamba. Wakaweza kuoa wake wengi na kuwa na utitiri wa watoo.kwanin hao mababu zetu ambao walikuwa wanafuata mila na taratibu zao pia hawakupata ayo maendeleo? Je, kufuata mila zetu za asili ndio biggest factor pekee ya kupata maendeleo?
Huwenda huyo mungu aliletwa juzi juzi ka unavyosema... Ila Mungu yeye alikuwepo hata kabla ya ulimwengu huuBaki hapo hapo sasa. Huyo mungu umeletewa juzi tu hapo wala hujui chimbuko lake
Huu ufahamu wengi hawawezi kuupata. Wameshafanyiwa indoctrination na wazungu na waarabu. Nimewapa tu mfano wa Orient.Aisee Chaliifrancisco shikamoo kwa hili, umeongea point kabisa na bahati mbaya akili za Waafrika wengi bado zimeganda wanashindwa kugundua hili. Nashangaa mtu anashindwa kujiuliza kabisa iweje achangishe hela aende Israel kubusu ukuta au Uarabuni kushika jiwe wakati mizimu yake iko hapa hapa Afrika. Hizi dini za kuletewa ni laana tupu kwetu Waafrika na ndizo zinazotuletea ubaguzi wa kijinga, Juma hawezi kuoa Esther ama Josepehine hawezi olewa na Rashidi kisa dini na wakati wanapendana. Ni ujinga mtupu.
Wachache sana wataelewa kiongozi ila wengi hili watalikataa. Ila waulize kabla hao wazungu hawajaja hapa Afrika miaka ya 1800s sisi mababu zetu waliishije? Waliabudu hiyo mingu ya kiisrael au waarabu?Mkuu, umenena kabisa. Waafrika kwa kweli tunahitaji maombi ili turudi kwa mizimu yetu tubarikiwe. It makes no sense mwafrika kwenda Israel kushika ukuta au Uarabuni kubusu na kushika jiwe. Kule ni mizimu ya watu wengine wasiotuhusu tunafuata nini huko kama si ujinga na kutojitambua akili?
Hizi discussion ni za great minds. Ukiona hautoshi ni bora kukaa kimya tu na sio kuandika ujinga. Bora ufuatilie kimya kimya upewe elimu.Huwenda huyo mungu aliletwa juzi juzi ka unavyosema... Ila Mungu yeye alikuwepo hata kabla ya ulimwengu huu
Wamebarikiwa kwa namna yao. Wewe unaweza kuishi kipori pori hunting and gathering? Unaweza kujifunika kipande cha ngozi tu hata katika hali gani mbaya ya hewa?Wahadzabe wako na hizo mila usemazo, nenda uungane nao.
bado sijaona great minds hapo zaidi ya habari za vichekesho.Hizi discussion ni za great minds. Ukiona hautoshi ni bora kukaa kimya tu na sio kuandika ujinga. Bora ufuatilie kimya kimya upewe elimu.
Ndio maana nikakushauri uungane nao, si ni waafrika wenzioWamebarikiwa kwa namna yao. Wewe unaweza kuishi kipori pori hunting and gathering? Unaweza kujifunika kipande cha ngozi tu hata katika hali gani mbaya ya hewa?
Ulishawahi kukutana na mhadzabe mmepanga foleni hospitali anasubiri kutibiwa?
Hao wanabarikiwa na miungu yao kivyao vyao.
Mkuu, acha kutafuta sababu za umasikini wetu kwenye imani. Kabla ya dini mpya, mababu zetu walikuwa wameendelea ?Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine.