Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

Mimi mwenyewe nimerudi kwa nguvu kubwa kwenye mizimu..wazungu ni wapumbavu na washenzi tu kwanza ndio huiba karama hizi za kiasili na kwenda kuzitumia wao..hizi dini ni za kishenzi na kipumbavu
 
Hahaha mzee hivi unafikiri kwamba Afrika ilikuwa haijaendelea? Hivi unaijua historia ya Afrika walau hata kwa asilimia 5.

Unazijua pyrqmids? Unaijua Timbuktu? Unamjua Mansa Mussa?
 
Kwahiyo kumiliki labda gari, kaghorofa, una IQ ya kama 120 hivi, elimu fulani ya juu na kazi nzuri na biashara za hapa na pale, watoto kusoma English Medium/International school, Bank account yako kuwa na sifuri nyingi ndo maendeleo?
Hilo neno "maendeleo" ni kamsamiati kalikotengenezwa na wenzako ili kukumiliki, kila binadamu ana ukuu wake. Kuna wachache waliamua kutengeneza system na kuita maendeleo ili wewe utumike.
Duniani tumekuja kuishi siyo kupigania maisha, ila kwa sasa there is no way back tumeshaingia kwenye mifumo ya watu tumekuwa watumwa huru.
 
Maendeleo ni namna ya kuwa namna bora ya kuendesha maisha yako na jamii inayokuzunguka kitu ambacho hadi sasa hatujaweza kufanya
 
Hahaha mzee hivi unafikiri kwamba Afrika ilikuwa haijaendelea? Hivi unaijua historia ya Afrika walau hata kwa asilimia 5.

Unazijua pyrqmids? Unaijua Timbuktu? Unamjua Mansa Mussa?
Ziko wapi ? Na kwa nini zilikufa ?

Je huoni asilimia kubwa ya vitu vinavyoendeshwa na watu weusi vinakufa ?

Hatuna watu wanotumia akili zao vizuri. Wajinga ni wengi sana
 
Tena nataka kulibalishana kujiita Maguire O'Brien Maamae.

Nyau de adriz
 
Maendeleo ni namna ya kuwa namna bora ya kuendesha maisha yako na jamii inayokuzunguka kitu ambacho hadi sasa hatujaweza kufanya
Shida ni huo "ubora" ambao wewe umelishwa kuwa ndo bora kwa maisha yako.

Walipokuja na kutufanya tuishi kama wao ndo imetufanya tuone kila kitu chao ndo bora, ingawa huo ubora unapatikana kwenye investments zao pekee...
 
Hakuna kulishwa mkuu. Binadamu ameumbwa ajifunze na kutawala.

Kama ubora wao tumeona ni mzuri, kwa nini hadi leo tumeshindwa kuufikia ?

Kuna ubaya gani tukiwa na technologia ya kutengeneza barabara kufikisha huduma kwa haraka katika jamii zetu ?

Kuna ubaya gani tukiishi kwenye sehemu zilizopangika na kupitika ?

Mbona ni common sense tu mkuu ? Watu kama ninyi ndo manafanya tuone hatutakaa tuendelee kama taifa na race.
 
jini mwenyewe akiona mguu wa kuku anakimbia
 
Ziko wapi ? Na kwa nini zilikufa ?

Je huoni asilimia kubwa ya vitu vinavyoendeshwa na watu weusi vinakufa ?

Hatuna watu wanotumia akili zao vizuri. Wajinga ni wengi sana
Basi mkuu unaonekana huna ulijualo kabisa. Sikulaumu labda hata shule hukuenda.
 
Na wewe endelea na wahadzabe na hii smartphone itupe pia, achana na sanaa ya maandishi, rudi ubuni herufi zako kama wahindi, wachina, wajapan, waarabu nk
Afrika (Egypt) ndio civilization ya kwanza kutengeneza mfumo wa kuandika. Hao wengine walifuata.
 
Nenda ukatembee matako wazi kama wahadzabe na Masai..Kumbe unaongelea maendelo ya nn hapa?
 
Mimi mwenyewe nimerudi kwa nguvu kubwa kwenye mizimu..wazungu ni wapumbavu na washenzi tu kwanza ndio huiba karama hizi za kiasili na kwenda kuzitumia wao..hizi dini ni za kishenzi na kipumbavu
Hongera mkuu. Unaona mbali
 
Basi mkuu unaonekana huna ulijualo kabisa. Sikulaumu labda hata shule hukuenda.
Sawa mkuu. Shule sijaenda ila Shule sio kigezo cha kujua na kupembua mambo.

Unatafuta tu hoja rahisi ya kujifariji na watu wa kale. Nipe mfano wa sasa wa jamii nyeusi iliyoweza kujitawala na kuendesha mambo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…