Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
- Thread starter
-
- #41
Umeniuliza vilifia wapi? Hapo ndipo nilipokuona kuwa huna akili na sitaki kuendelea kujibizana na wewe.Sawa mkuu. Shule sijaenda ila Shule sio kigezo cha kujua na kupembua mambo.
Unatafuta tu hoja rahisi ya kujifariji na watu wa kale. Nipe mfano wa sasa wa jamii nyeusi iliyoweza kujitawala na kuendesha mambo yao
Sio kazi yangu kuanza kukufundisha historia. Mimi nakupa hint, wewe ni kazi yako kujitoa ujinga kwa kufuatilia kuwa waliandikajeEnhee wamisri wanaandikaje??
Hakuna kulishwa mkuu. Binadamu ameumbwa ajifunze na kutawala.
Kama ubora wao tumeona ni mzuri, kwa nini hadi leo tumeshindwa kuufikia ?
Kuna ubaya gani tukiwa na technologia ya kutengeneza barabara kufikisha huduma kwa haraka katika jamii zetu ?
Kuna ubaya gani tukiishi kwenye sehemu zilizopangika na kupitika ?
Mbona ni common sense tu mkuu ? Watu kama ninyi ndo manafanya tuone hatutakaa tuendelee kama taifa na race.
Nimekuuliza ziko wapi kwa sababu empires za whites zipo hadi leoUmeniuliza vilifia wapi? Hapo ndipo nilipokuona kuwa huna akili na sitaki kuendelea kujibizana na wewe.
Kujibu swali lako. Case Study nenda Burkina.
Na mimi nakushangaa kwanini hujui ziko wapi.Nimekuuliza ziko wapi kwa sababu empires za whites zipo hadi leo
Hivyo basi wewe ulienda shule, empire ya Mali imekufaje ?
Burkina Faso wanajaribu na wameanza juzi, nipe mfano wa waliofanikiwa
Kwa mujibu wako ww kuwa na mifugo na mashamba ndio maendeleo?Ndio babu zetu walikuwa na maendeleo. Ndio maana waliweza kumiliki mali nyingi mifugo na mashamba. Wakaweza kuoa wake wengi na kuwa na utitiri wa watoo.
Sasa wewe unajiita developer unakuwa na mke mmoja watoto wawili tu wanakutoa jasho kila siku upo kausha damu.
Ndiyo hapo sasa, na cha kusikitisha wenzetu walio wengi wala hawajuwi historia yao tena kwa makusudi tu kwani hawataki kusoma waelimike na kujuwa ukweli ila wako bize kukariri Kiarab na vitu visivyo na umuhimu maishani mwao.Wachache sana wataelewa kiongozi ila wengi hili watalikataa. Ila waulize kabla hao wazungu hawajaja hapa Afrika miaka ya 1800s sisi mababu zetu waliishije? Waliabudu hiyo mingu ya kiisrael au waarabu?
Uzi uishie hapa. Umejibu vyemaKwahiyo kumiliki labda gari, kaghorofa, una IQ ya kama 120 hivi, elimu fulani ya juu na kazi nzuri na biashara za hapa na pale, watoto kusoma English Medium/International school, Bank account yako kuwa na sifuri nyingi ndo maendeleo?
Hilo neno "maendeleo" ni kamsamiati kalikotengenezwa na wenzako ili kukumiliki, kila binadamu ana ukuu wake. Kuna wachache waliamua kutengeneza system na kuita maendeleo ili wewe utumike.
Duniani tumekuja kuishi siyo kupigania maisha, ila kwa sasa there is no way back tumeshaingia kwenye mifumo ya watu tumekuwa watumwa huru.