Sababu kubwa tatu za kwanini watu hawanunui Bidhaa/ Huduma Yako

Sababu kubwa tatu za kwanini watu hawanunui Bidhaa/ Huduma Yako

Adama H

Member
Joined
Jan 9, 2026
Posts
28
Reaction score
66
Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam

Rafiki

Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au

Huduma Yako

Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk
Zinaingia kote kote

Twende pamoja

Sababu ya kwanza hakuna anayefahamu unachokiuza

Na Hii ni Moja ya sababu kubwa inayokukosenya wateja kwenye Biashara Yako

Ni kwamba hujatangaza Biashara Yako Kwa Kiwango ambacho watu wanaweza kuvutika kirahisi kuja kununua Bidhaa zako

Achana na Aibu sijui marafiki watanionaje ndugu zangu watanionaje,watu wata comment vibaya,sijui watanitukana

Achana na Hizo habari

Anza kutangaza Biashara Yako iyonekane kwenye macho ya watu wengi

Soma haya Maneno hapa Chini kwa makini

Nitaitangaza Biashara yangu iyonekane kwenye macho ya watu wengi

Bila shaka umeyosoma haya Maneno

Na

Sababu ya pili ni wateja hawakuamini wewe muuzaji,hawaziamini Bidhaa unazouza,hawaiyamini kampuni Yako

Hasa,Hasa kama Biashara Yako ni mpya Sokoni kampuni Yako mpya Sokoni au Bidhaa zako ni mpya

Ni lazima utakuna na Hii Changamoto kwa Kiwango kikubwa sana

Kwahiyo

Soluhushisho ni Kuangalia Namna ambayo unaweza kuaminika Haraka Haraka ili uweze kuwavuta Wanunue Bidhaa au Huduma Yako

Na

Njia ya Moja kubwa na ya Haraka ya kujenga kuaminika Kwa wateja wako ni

Kuwaonesha wazi wazi Bidhaa Bidhaa Yako itakusaidia kutatua Changamoto Gani

Peleka Hii Tigo pesa wateja hawanunui Bidhaa au Huduma Yako Kwa sabubu ni nzuri sana au inavutia sana

Wananunua Bidhaa Yako Kwa sababu inaenda kuwasaidia kutatua Changamoto Fulani

Kwahiyo

Wewe kama mfanyabishara kaa Chini jiulize Hivi Hiii Bidhaa yangu inawasadia wateja kutatua Changamoto Gani

Kisha Majibu utakayo ya pata Ndio uwe unatumia kwenye Matangazo Yako

Na uzuri ni kwamba huitaji kuumizwa kichwa sana kufahamu Bidhaa Yako inatutua Changamoto Gani

Unaweza kuamua kuingia kwenye chapgt ukamuliza na akakupa Majibu yote

Na

Sababu ya tatu Bidhaa au Huduma unayaouza ina uhitaji Mdogo sana au hakuna kabisa watu wanao hitaji

Mwaka 2020 jarida la Forbes walifanya Utafiti ni Bidhaa gani au Biashara Gani ambayo mtu akifanya au akiuza ana uwezakano wa kupata soko kubwa

Majibu ya Utafiti wao yalikuwa hivi kama ikitokea umeuza Bidhaa au Huduma yenye uhitaji mkubwa basi ni Guarantee kupata soko kubwa

Na

Bidhaa au Huduma inayaomsadia mtu kutoka kwenye maumivi kama vile

Bidhaa za afya nk Huwa zinakua na soko kubwa sana,Bidhaa au Huduma ambazo Huwa zinamsadia mtu kutengeneza pesa pia soko lake ni kubwa sana

Kwahiyo wakati mwingine huuzi kwa sababu una uza Bidhaa ambazo hazina uhitaji mkubwa kwa watu

Tumiani Langu Umepata kitu Cha Kujifunza

Gracias
 
Back
Top Bottom