Sababu kubwa zinazofanya Twitter kuwa tofauti na mitandao mingine ya kijamii

Sababu kubwa zinazofanya Twitter kuwa tofauti na mitandao mingine ya kijamii

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Takribani mitandao yote ya kijamii ina sheria zinazofanana kwa watumiaji wake ikiwemo kutokuunga mkono kabisa maswala ya uhalifu, kuvunja haki za binadamu, nakadhalika.

Lakini mtandao wa Twitter ndio mtandao pekee unaounga mkono maudhui ya Pornography.

Mitandao mingine ya kijamii unapochapisha maudhui ya ngono basi unaweza kupata adhabu kali ikiwemo kufungiwa ukurasa wako lakini kwa upande wa Twitter Pornography ni rafiki isipokuwa hupaswi kuchapisha ngono kwa lengo la kumdhalilisha mhusika.
 
Mbona yule jamaa anajiita shetani 8 alofungiwa?
Kuna sheria za kupost maudhui kama haya na zipo malaki ya accounts zinapost kama si mamilioni zinapost pono na account zote sio public. Ni lazima ziwe highlighted kama offensive content
 
Back
Top Bottom