Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao itakatwa. Yaani hawatapata tena ulaji wanaoupata sasa.
2. Wanajua kuwa CCM ikiondoka tu wengi wataswekwa jela kwa makosa mbalimbali. Makaburi yote yatafukuliwa. Yakifukuliwa makaburi ipasavyo wengi watajaa Segerea.
Kwasababu hizo mbili maishani kuwa CCM itaondoka madarakani kirahisi.
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema