Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nguvu ya Umma Tanzania ni CCM.Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao itakatwa. Yaani hawatapata tena ulaji wanaoupata sasa.
2. Wanajua kuwa CCM ikiondoka tu wengi wataswekwa jela kwa makosa mbalimbali. Makaburi yote yatafukuliwa. Yakifukuliwa makaburi ipasavyo wengi watajaa Segerea.
Kwasababu hizo mbili maishani kuwa CCM itaondoka madarakani kirahisi.
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema
MaviNguvu ya Umma Tanzania ni CCM.
Lakini mtu kuwaza kuiondoa CCM kivyovyote vile madarakani kwa kura ama vinginevyo ni dhana potofu yenye ishara zote za mtu aliefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbdala..
anasahau kwamba CCM ni chama cha siasa chanye nia, madhumuni
na lengo la kujizatiti kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi..
ukitazama vyama vingine vya kisiasa nchini, huoni kama wana malengo kama hayo ya CCM, utaona ni wanaharakti tu wanao endeshwa kwa hisia na kutegemea huruma kupata nafasi za uongozi,na kwahivyo hakuna kiashiria wala hatari ya CCM kuondoka madarakani kwasabubu yoyote ile..
CCM itaendelea kushinda uchaguzi na kuongoza serikali ya Tanzania kwasabubu ya sera zake nzuri na viongozi waandamizi waadilifu walioko madarakani...
CCM ndio nguvu ya umma wa waTanzania wote 🐒
utapasuka moyo kwa mihemko gentleman 🤣Mavi
Kweli !Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao itakatwa. Yaani hawatapata tena ulaji wanaoupata sasa.
2. Wanajua kuwa CCM ikiondoka tu wengi wataswekwa jela kwa makosa mbalimbali. Makaburi yote yatafukuliwa. Yakifukuliwa makaburi ipasavyo wengi watajaa Segerea.
Kwasababu hizo mbili maishani kuwa CCM itaondoka madarakani kirahisi.
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema
Hiyo 2025 watawezaje ni swali la msingi sana.Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema
Uzoefu duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Ni rahisi Sana kuuondoa Utawala au Watawala Wazuri kutoka madarakani, lakini ni kazi ngumu Sana kuuondoa Utawala au Watawala Wabaya kutoka madarakani.Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao itakatwa. Yaani hawatapata tena ulaji wanaoupata sasa.
2. Wanajua kuwa CCM ikiondoka tu wengi wataswekwa jela kwa makosa mbalimbali. Makaburi yote yatafukuliwa. Yakifukuliwa makaburi ipasavyo wengi watajaa Segerea.
Kwasababu hizo mbili maishani kuwa CCM itaondoka madarakani kirahisi.
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema
Tatizo sio CCM tatizo ni upinzaniHello!

Tatizo Siyo CCM na wala tatizo siyo Upinzani, bali tatizo ni Elimu duni (akili mbovu) miongoni mwa Watu wengi zaidi katika nchi hii.Tatizo sio CCM tatizo ni upinzani
Siku upinzani wakijua nini wafanye naamini watachukua nchi kwa sekunde
Tanzania haipo tayari kuongozwa na chama kingine zaidi ya CCM na hakuna chama kingine chenye uwezo wa kuiongoza Tanzania , 2025 tunaenda na SamiaHiyo 2025 watawezaje ni swali la msingi sana.
P
Naamini ndani CCM kuna watu hawatakubali huo ujinga uendelea na hivyo sanduku la kura kuamua matokeo ya uchaguzi. CCM kuna watu wema wasiopendezwa na Nchi kuendeshwa kifamilia na kirafiki. Wizi wa rasilimali za Nchi umetamalaki na system imeshindwa kuthibiti kutokana na wizi na ubadhirifu kufanywa na wakubwa wenyewe. Kutumia fedha kupata Uongozi ni kitu cha kawaida kabisa hakimkeri yeyote kwenye Uongozi zaidi ya kuongelea bila vitendo vya kuitokomeza.Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao itakatwa. Yaani hawatapata tena ulaji wanaoupata sasa.
2. Wanajua kuwa CCM ikiondoka tu wengi wataswekwa jela kwa makosa mbalimbali. Makaburi yote yatafukuliwa. Yakifukuliwa makaburi ipasavyo wengi watajaa Segerea.
Kwasababu hizo mbili maishani kuwa CCM itaondoka madarakani kirahisi.
Nikiangalia asili ya Watanzania sioni dalili ya CCM kuwa nje ya Dola.
Usiku mwema
Tatizo siyo upinzani wala ccm, CCM is very weak. Tatizo ni raia. Yaani wananchi, hawana mwamko, hawako motivated, dick heads, low thinking, low IQTatizo sio CCM tatizo ni upinzani
Siku upinzani wakijua nini wafanye naamini watachukua nchi kwa sekunde
Naona wanafunguka tu uharamia walioufanya gizani