Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako

Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual,
basi hivi ndivyo unaweza kufanya.

SW- Estimated Calculations.png


Tulivyoanza Kufuga Kuku mimi na Rafiki yangu miaka ya nyuma hapo tulipitia changamoto Kubwa ya kwanza ni kwamba kwa mtaji tulionao tunaweza kufuga kuku wangapi ili tusiende nje ya budget. Baadae tukaja kugundua pia wengi wanaoanza Kufanya Ufugaji wanapitia hii changamoto. Ndio maana tukaamua Kutengeneza Fuga App

Kama ndo unaanza kufuga Kuku unaweza kupakua Fuga App kisha uingie kwenye kipengele cha Makadirio na Ufanye makadirio Kulingana na Kuku na idadi unayotaka kufuga. Unaweza Ku download kama pdf ili aone atakae kusaidia huo mtaji unaenda kuutumiaje

Pia ndani ya Fuga App kuna Mafunzo ya Ufugaji wa Kuku na unaweza kutunza kumbukumbu zako zote za matumizi na mauzo bila kuhitaji daftari kw urahisi Zaidi

Pakua Fuga App leo ili usimamie shamba lako Kiurahisi zaidi
 
Back
Top Bottom