Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako
Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika
kujua pa kuanzia, bila
kuteseka kupata bajeti halisi, na
bila stress ya kufuatilia kila kitu manual,
basi hivi ndivyo unaweza kufanya.
Tulivyoanza Kufuga Kuku mimi na Rafiki yangu miaka ya nyuma hapo tulipitia changamoto Kubwa ya kwanza ni kwamba kwa
mtaji tulionao tunaweza kufuga kuku wangapi ili tusiende nje ya budget. Baadae tukaja kugundua pia wengi wanaoanza Kufanya Ufugaji wanapitia hii changamoto. Ndio maana tukaamua Kutengeneza
Fuga App
Kama ndo unaanza kufuga Kuku unaweza kupakua
Fuga App kisha uingie kwenye
kipengele cha Makadirio na Ufanye makadirio Kulingana na Kuku na idadi unayotaka kufuga. Unaweza Ku
download kama pdf ili aone atakae kusaidia huo mtaji unaenda kuutumiaje
Pia ndani ya Fuga App kuna
Mafunzo ya Ufugaji wa Kuku na unaweza
kutunza kumbukumbu zako zote za matumizi na mauzo bila kuhitaji daftari kw urahisi Zaidi
Pakua Fuga App leo ili usimamie shamba lako Kiurahisi zaidi