Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama!
Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara.
Watz kwa sasa wanatekwa, wanaumizwa na kuuawa. Watumishi wa Mungu wanatekwa, wanapigwa na kunyanyaswa kisa ati hawaungi mkono Serikali kwenye uonevu into wafanyia Watz.
Kwa Serikali hii ya CCM inaona mpira ni muhimu kuliko haki, kuliko amani na ustawi wa nji yetu. Halafu Watawala wanasema Watz waiombee Simba ishinde!! Mungu hafanyi biashara kichaa. Mungu hawezi kukubariki wakti unafanya dhambi ya kupingana na Sheria zake.
Kwa kifupi tu ni kwamba, kwa hali inayo endelea hapa nchini tunapoelekea kwenye Uchaguzi basi ni ngumu sana kwa nji kufanikiwa kwenye jambo lolote. Hii ni kwasababu Watawala wa Serikali ya CCM wameamua kuchagua UOVU dhidi ya HAKI. Muda utaongea.