Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama!
Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara.
Watz kwa sasa wanatekwa, wanaumizwa na kuuawa. Watumishi wa Mungu wanatekwa, wanapigwa na kunyanyaswa kisa ati hawaungi mkono Serikali kwenye uonevu into wafanyia Watz.
Kwa Serikali hii ya CCM inaona mpira ni muhimu kuliko haki, kuliko amani na ustawi wa nji yetu. Halafu Watawala wanasema Watz waiombee Simba ishinde!! Mungu hafanyi biashara kichaa. Mungu hawezi kukubariki wakti unafanya dhambi ya kupingana na Sheria zake.
Kwa kifupi tu ni kwamba, kwa hali inayo endelea hapa nchini tunapoelekea kwenye Uchaguzi basi ni ngumu sana kwa nji kufanikiwa kwenye jambo lolote. Hii ni kwasababu Watawala wa Serikali ya CCM wameamua kuchagua UOVU dhidi ya HAKI. Muda utaongea.
Machadema na Maccm mmeanza na laana zenu uchwara!Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama!
Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara.
Watz kwa sasa wanatekwa, wanaumizwa na kuuawa. Watumishi wa Mungu wanatekwa, wanapigwa na kunyanyaswa kisa ati hawaungi mkono Serikali kwenye uonevu into wafanyia Watz.
Kwa Serikali hii ya CCM inaona mpira ni muhimu kuliko haki, kuliko amani na ustawi wa nji yetu. Halafu Watawala wanasema Watz waiombee Simba ishinde!! Mungu hafanyi biashara kichaa. Mungu hawezi kukubariki wakti unafanya dhambi ya kupingana na Sheria zake.
Kwa kifupi tu ni kwamba, kwa hali inayo endelea hapa nchini tunapoelekea kwenye Uchaguzi basi ni ngumu sana kwa nji kufanikiwa kwenye jambo lolote. Hii ni kwasababu Watawala wa Serikali ya CCM wameamua kuchagua UOVU dhidi ya HAKI. Muda utaongea.
Akili za Lumumba Street mnawaza kutumia makalio!!!Machadema na Maccm mmeanza na laana zenu uchwara!
Huna Akili hakuna serikali duniani haina uonevu sema wewe hujasafiri hata wakija Chadema mambo yataendelea kama yalivyo kwa sababu binadamu tumejitungia wenyewe jinsi ya kuishi hatufuati mifumo ambayo Mungu ametupa tuifuate ila wapumbavu kama nyinyi ndo mnaamini Chadema ndo watakuwa malaika.
Acha kumsingizia Mungu eti ndo ametupa laana watanzania kisa Ccm kwani ni nani kakwambia kuwa Mungu ni Chadema?
Acha kujizma data ewe chawa mkubwa. Serikali yenu iliposema Watz waiombee Simba ishinde walikuwa wanamsingizia Mungu au?Machadema na Maccm mmeanza na laana zenu uchwara!
Huna Akili hakuna serikali duniani haina uonevu sema wewe hujasafiri hata wakija Chadema mambo yataendelea kama yalivyo kwa sababu binadamu tumejitungia wenyewe jinsi ya kuishi hatufuati mifumo ambayo Mungu ametupa tuifuate ila wapumbavu kama nyinyi ndo mnaamini Chadema ndo watakuwa malaika.
Acha kumsingizia Mungu eti ndo ametupa laana watanzania kisa Ccm kwani ni nani kakwambia kuwa Mungu ni Chadema?
Mwigulu Nchemba's nonsensical statement. Malipo ni hapahapa. Hakuna kuandamana wala kuhamia Burundi. Hivi Mwendazake yuko wapi vile??Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Quote
Timu imeingia FINALE ya CAF ww unasema kimpira bado!!Kwa hiyo Simba wamefika hapo kimiujiza au?Hata kusingekuwa na Udikteta! Tanzania bado tuko nyuma kimpira.
Mimi sio chawa wa Ccm wala Chadema maana kila ambae aungi mkono unachokisema ndo anakuwa chawa?Acha kujizma data ewe chawa mkubwa. Serikali yenu iliposema Watz waiombee Simba ishinde walikuwa wanamsingizia Mungu au?
Dhana yako haitoweza kuwezekana mpaka mwisho wa Dunia.Akili za Lumumba Street mnawaza kutumia makalio!!!
Sina ķadi ya CCM wala CHADEMA. Hapa naongelea Amani, Haki na utulivu wa nji kiujumla wake.
Tuna Watz 60m+ ukiondoa ma-CCM na ma-CHADEMA kuna more than 40m+ wasio na chama chochote. Kuna wahuni wachache ndani ya nji hii ndo wanaonea watu wasio na hatia simply hawakubaliani na udikteta wao!
TUNATAKA HAKI NA AMANI ITAWALE NA CCM WAACHE UHUNI NA UDIKTETA WAO. Cheo ni Dhamana tu!!