Sababu kuu mbili kwanini matokeo ya Al hilal vs Yanga yalikuwa 0-1

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe

2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo .

Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
 
1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi

2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo .

Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
Mahesabu unayoongelea ndio yale tuliyoyaona akihesabu wachezaji ndani mara mbili mbili na kupaniki baada ya kuona goli halirudi?
 
1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe
Si sahihi kusema ki vyovyote Al Hilal ataongoza kundi hata kama atafungwa na Mazembe. Al Hilal ana point 10 na akifungwa na Mazembe ataendelea kubaki na 10. MC Alger akifikisha point 11 ndiye atakayeongoza kundi.
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom