Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
- #21
Aisee 😂Kila ninavyoongeza kipato, ndivyo ninapozidi kuwa muaminifu kwa mwanamke wangu. Ila nikiwa sina pay tu, nakuwa namichepuko kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee 😂Kila ninavyoongeza kipato, ndivyo ninapozidi kuwa muaminifu kwa mwanamke wangu. Ila nikiwa sina pay tu, nakuwa namichepuko kinoma
Eti jamani 🤔Kupiga miti nje ni hulka tu ya mtu ulivyovitaja vina mchango mdogo sana
Upo sahihi Kbsa mkuuKuchepuka kwa mwanaume ni kama accident tu either unaeza kusababisha mwenyewe au kusababishiwa.
Kuna wanawake wanampenda mwanaume hata kwa muonekano wake tu, hawataki pesa na wanajua ni mme wa mtu.
Nimefanya research kwa Muda wa miezi 5 nikagundua Kati ya wanaume 10,8 Kati yao Ni wanna michepuko.Umejuaje ama una uhakika gani ni 80%?
Huoni kwamba unachochea dhana potofu na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume?
Weka chapisho la hiyo tafiti hapa😁Nimefanya research kwa Muda wa miezi 5 nikagundua Kati ya wanaume 10,8 Kati yao Ni wanna michepuko.
Amini ninachokwambia.Wanawake nao pia wanawake ila cheating rate Ni ndogo ukilinganisha na wanaumeWeka chapisho la hiyo tafiti hapa😁
Afu ufanye na ya wanawake uone na wao vipi
Wale wanawake Ni " exceptional cases" na Ni wachache Sana.Naongezea hapo kwenye asilimia ,90% ya wanaume wengi wanacheat.
Hiyo sababu yako kuwa mwanaume ambaye hana pesa hacheat ni haina mashiko zama hizi. Kuna wanawake hawaihitaji pesa zaidi ya "show " tuu.
Uipate sasa ile ambayo imekufikia kama Ajali, Uzuri tukishamalizana no string attached, Amani mtu wangu.Mwanaume asiye cheat labda ni lisanamu tu masela wote hunacheat k za nje tamu jamani asikwambje mtu
Yule wa mwanzo vp alikuwa ana cheat sana au uligawa utelezi sehemuKwa kuwa yule wa kwangu ana hofu ya Mungu, nina imani.
Mungu aendelee kumfunika, stress za michepuko siziwezi mie.
Kichwa kuitwa KIfuniko cha shingo sio tusi boss?We kima unadhani hii Ni Facebook ambayo unatukana tukana hovyo.
Jifunze kupangua hoja kwa kutumia hoja.Acha kutumia Kichwa Kama kifuniko Cha shingo kijana.