Subiri October siyo mbali maana SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU..tutaona Nani SHETANI nani MUNGU.
Hii ndoto yako haitakaa itimie kamwe mpinzan kuingia ikulu, kwa mazingira yapi??? Kila mamlaka husika ipo chini ya inategemea nimeamkaje siku hyo,Huyu Jiwe anayejinadi kuwa kawafanyia mambo mengi mazuri watanzania......
Ni kwa vipi aogope hicho wanachokiita kijarida?
Hakika anguko la CCM mwaka huu litakuwa kubwa, ambalo halijawahi kutokea nchini
Hata wewe ukiulizwa ukweli upi lilioandika utaanza ngonjera.ukiulizwa huo uzushi ni upi utaanza ngonjera
mwisho huwa huja kwa mahangaiko mengi awamu hii tumeshuhudia mahangaiko mengi ,mno kuliko awamu zote zilizopita mpaka mnaweka kinga kwa watu wengine nje ya rais mnataka kufanya dhambi gani kubwa mpaka mlindwe na sheria?CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
Tangu kipindi cha agustino mlema mnasema hayahayaCCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
Mwambie erythrocytes hayo maneno asiendelee kuropoka eti mlevi ataingia ikulu.k
tunajua kaa mlivyofanya uchaguzi uliopita ndo mtaenda fanya hivyo hivyo hakuna jipya
Mara elfu yesu feki kuliko mashetani (chadema)Mkuu usisahau kumalizia yesu FAKE.
Watz wa leo siyo wale wa juzi na jana. Ndiyo maana nikasema mtaona kama ni ndoto lkn huo ndiyo ukweli. CCM imechokwa nguvu yenu kubwa iko kwenye Jeshi la Polisi na wale Jamaa wasiojulikana ingawa wanajulikana. Nao pia wamechoshwa na ccm.Tangu kipindi cha agustino mlema mnasema hayahaya
Miaka yote shetani na kizazi Chake wanashindwa (chadema na wafuasi wao)Subiri October siyo mbali maana SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU..tutaona Nani SHETANI nani MUNGU.
Mara elfu yesu feki kuliko mashetani (chadema)
Mbowe na Lowassa wakati wa uchaguzi wa 2015 waliwaambia kama hamtashinda 2015 basi itachukua miaka 50 kuishinda CCM! Hukuwaelewa viongozi wako? Au unaupungufu wa akili na maarifa kwenye kichwa chako??CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
hivi amepona?Chadema haijawahi kuua Mtanzania hata mmoja ukilinganisha na chama cha mashetani ambacho hata mtu wao mangula walimpa SUMU.
Nikuambie Nini na Ni kilaza mwenzako kasema hicho kifungio Cha mandazi (gazeti) limefungiwa kwa sababu ni karibu na uchaguzi kwahiyo CCM inaliogopa!!! Ndio swali likaulizwa "kwani gazeti linapiga kura"? Sasa tuambie wewe ni kweli gazeti linapiga kura?huenda ni kweli niewazidi bata wa hapa kijijini kwetu je gazeti linapiga kura niambie mpaka hapo ewe somi wa tz.
unadhani hao ni manabii? walisema maonao yao ccm haiwezi tawala milele mtaanguka tena mtashambuliana wenyewe wala cdm hawatakuwepo lissu atakuwa sababu ya kuanguka kwenuMbowe na Lowassa wakati wa uchaguzi wa 2015 waliwaambia kama hamtashinda 2015 basi itachukua miaka 50 kuishinda CCM! Hukuwaelewa viongozi wako? Au unaupungufu wa akili na maarifa kwenye kichwa chako??
Muda ni mwalimu mzuri sana Mkuu. Usitegemee yale yatajirudia. Weka kwenye akili yako "Wapiga kura ni wengi kuliko Polisi"Mbowe na Lowassa wakati wa uchaguzi wa 2015 waliwaambia kama hamtashinda 2015 basi itachukua miaka 50 kuishinda CCM! Hukuwaelewa viongozi wako? Au unaupungufu wa akili na maarifa kwenye kichwa chako??
Ni hoja zisizo na mashiko ambazo mnaziimba kila mwaka wa uchaguzi na mwisho wa siku mnabaki kulialia na mwaka huu ndio mnapotea kabisaChadema haijawahi kuua Mtanzania hata mmoja ukilinganisha na chama cha mashetani ambacho hata mtu wao mangula walimpa SUMU.
hivi amepona?
Utake usitake hakuna chama Cha kuishinda CCM (hicho chama bado hakija anzishwa) na hakuna mgombea wa kumshinda magufuli (huyo binadamu bado hajazaliwa)un
unadhani hao ni manabii? walisema maonao yao ccm haiwezi tawala milele mtaanguka tena mtashambuliana wenyewe wala cdm hawatakuwepo lissu atakuwa sababu ya kuanguka kwenu
Ni hoja zisizo na mashiko ambazo mnaziimba kila mwaka wa uchaguzi na mwisho wa siku mnabaki kulialia na mwaka huu ndio mnapotea kabisa
MUNGU ibariki CCM
MUNGU mbariki magufuli