Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

Huyu Jiwe anayejinadi kuwa kawafanyia mambo mengi mazuri watanzania......

Ni kwa vipi aogope hicho wanachokiita kijarida?

Hakika anguko la CCM mwaka huu litakuwa kubwa, ambalo halijawahi kutokea nchini
Hii ndoto yako haitakaa itimie kamwe mpinzan kuingia ikulu, kwa mazingira yapi??? Kila mamlaka husika ipo chini ya inategemea nimeamkaje siku hyo,
 
CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
mwisho huwa huja kwa mahangaiko mengi awamu hii tumeshuhudia mahangaiko mengi ,mno kuliko awamu zote zilizopita mpaka mnaweka kinga kwa watu wengine nje ya rais mnataka kufanya dhambi gani kubwa mpaka mlindwe na sheria?

hakika mwisho wenu umefika na nawaambia mkigusa katiba eti aongewe muda rais majeshi yatawapindua subirini
 
CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
Tangu kipindi cha agustino mlema mnasema hayahaya
 
Tangu kipindi cha agustino mlema mnasema hayahaya
Watz wa leo siyo wale wa juzi na jana. Ndiyo maana nikasema mtaona kama ni ndoto lkn huo ndiyo ukweli. CCM imechokwa nguvu yenu kubwa iko kwenye Jeshi la Polisi na wale Jamaa wasiojulikana ingawa wanajulikana. Nao pia wamechoshwa na ccm.

Jiwe mwenyewe kakiri kuwa wanatekeleza majukumu wasiotumwa. Maana yake nini?? Walitumwa kuwadhibiti Wapinzani matokeo yake wanadhitiana wenyewe kwa wenyewe.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
CCM isitegemee kushinda kwenye sanduku la kura. Ila kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mwisho wenu umekaribia. Utaona kama ni ndoto lkn ukweli ccm imechokwa.
Mbowe na Lowassa wakati wa uchaguzi wa 2015 waliwaambia kama hamtashinda 2015 basi itachukua miaka 50 kuishinda CCM! Hukuwaelewa viongozi wako? Au unaupungufu wa akili na maarifa kwenye kichwa chako??
 
mwambie wewe maana nchi hii ni yetu wote na hakuna pa kwenda zaidi ya kubanana hapa
 
huenda ni kweli niewazidi bata wa hapa kijijini kwetu je gazeti linapiga kura niambie mpaka hapo ewe somi wa tz.
Nikuambie Nini na Ni kilaza mwenzako kasema hicho kifungio Cha mandazi (gazeti) limefungiwa kwa sababu ni karibu na uchaguzi kwahiyo CCM inaliogopa!!! Ndio swali likaulizwa "kwani gazeti linapiga kura"? Sasa tuambie wewe ni kweli gazeti linapiga kura?
 
un
Mbowe na Lowassa wakati wa uchaguzi wa 2015 waliwaambia kama hamtashinda 2015 basi itachukua miaka 50 kuishinda CCM! Hukuwaelewa viongozi wako? Au unaupungufu wa akili na maarifa kwenye kichwa chako??
unadhani hao ni manabii? walisema maonao yao ccm haiwezi tawala milele mtaanguka tena mtashambuliana wenyewe wala cdm hawatakuwepo lissu atakuwa sababu ya kuanguka kwenu
 
Muda ni mwalimu mzuri sana Mkuu. Usitegemee yale yatajirudia. Weka kwenye akili yako "Wapiga kura ni wengi kuliko Polisi"
 
Chadema haijawahi kuua Mtanzania hata mmoja ukilinganisha na chama cha mashetani ambacho hata mtu wao mangula walimpa SUMU.
Ni hoja zisizo na mashiko ambazo mnaziimba kila mwaka wa uchaguzi na mwisho wa siku mnabaki kulialia na mwaka huu ndio mnapotea kabisa

MUNGU ibariki CCM

MUNGU mbariki magufuli
 
un

unadhani hao ni manabii? walisema maonao yao ccm haiwezi tawala milele mtaanguka tena mtashambuliana wenyewe wala cdm hawatakuwepo lissu atakuwa sababu ya kuanguka kwenu
Utake usitake hakuna chama Cha kuishinda CCM (hicho chama bado hakija anzishwa) na hakuna mgombea wa kumshinda magufuli (huyo binadamu bado hajazaliwa)
 
Ni mwenye UFINYU WA AKILI tu ndiyo anaweza kuandika upuuzi kama huu. Vipi kuhusu ombi la Mkapa la uchaguzi kufanyika chini ya TUME HURU ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI na siyo tume FAKE ya dikteta!?

Ni hoja zisizo na mashiko ambazo mnaziimba kila mwaka wa uchaguzi na mwisho wa siku mnabaki kulialia na mwaka huu ndio mnapotea kabisa

MUNGU ibariki CCM

MUNGU mbariki magufuli
 
Back
Top Bottom