Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Nyerere dhidi ya Wakoloni Weupe wa karne ya 19 na 20.

Lisu dhidi ya Wakoloni Weusi wa Karne 21.

Uchaguzi huu hautakua rahisi kama walivyotegemea watoa rushwa za vyeo ,madaraka na fedha.

Miaka mitano ya CCM kujinadi peke yake lakini bado kuna hofu.
Hii tafsiri yake ni kwamba CCM imechokwa na watu .
Mh.Rais ameibeba CCM vya kutosha mpaka ikawa dhambi sasa. atakayeshindwa kwa haki asilalamike wala asitegemee kubebwa na Tume.

Haki ikitendeka kwenye uchaguzi hata CCM ikishindwa au ikishinda bado itakua ni Sifa kwa Rais wa awamu hii kusimamia haki katika Taifa. Ni thawabu kubwa.

Hii miaka ni mibaya sana kwa wanadamu wanaodhulumu . Ufalme wa Mungu uko mlangoni.
 
Sikubaliani nawe ukisema pigo hii sio vita Ni ushindanishi wa sera, uchaguzi uwe buru tu akishindwa/akishinda yote sawa tu,
 
Hizo ni porojo za CCM kudai asilimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini, Ili waweze kuleta mabox ya kura ambazo wamejipigia wenyewe. safari hii huo ubeti umegoma
 
Brand, brand peleka kwa wasanii huko, cc huku ni kumtosa yohana na jiwe shingoni
 
Who is lowasa
 
Sumaye na lowassa ni wa lini chadema hadi kuifanya kanda ya kaskazini kuwa ngome ya chadema? Ndo maana hadi na kesho huwa jamaa wenu wa ccm hanaga mazoea ya kwenda arusha ,Kilimanjaro au manyara maana anaweza kukutana na aibu watu wa kaskazini cyo wale ambao utawalazimisha kwenda kumpokea mtu kama mlivofanya huko Zanzibar aje ajionee ,, Juzi kati malijitahidi kuwaambia watu waendee kwenye uzinduzi Na Waziri jaffo alichokutana nacho ni yeye tu anajua hadi kaanza kutumbua kisa watu wamegoma kwenda kwenye uzinduzi wake
 
Ukanda na udini hautawaacha salama CCM.
 
Huko kanda ya ziwa pia ni huku:

Madhila ya Barabara Rusahunga -Rusumo

Ipo tofauti ya kanda ya ziwa, Chatto na usukumani wasikoelimika yaani ambako ujinga tololo ndiyo kwao. Rejea tafiti za TWAWEZA.
Umetoa hoja ya kijinga sana kuhusisha ukabila kwenye hoja yako.

Usukumani huko kanda ya ziwa ndiyo waliompa kura nyingi Mrema 1995 kuliko kanda nyingine.

Ndiyo hao hao waliombeba Dr Slaa 2010 na kuipa CHADEMA viti 7 vya wabunge.

Ndiyo hao hao waliompa kura nyingi Lowassa licha ya Magufuli kutoka kanda hiyo hiyo.

Wasukuma wa kanda ya ziwa ni wanamageuzi kuliko kanda nyingine yoyote na ni objective voters.

Acheni kuropoka bila utafiti.
 

Unajua aje kama wote wamejiandikisha au unatengeneza ukanda na ukabila?
 
Hata hapa wanaokushambulia ni walewale unaosema wanamfariji Tundu Lissu wanapeana nguvu ambayo haitakwepo siku ya kupiga kura maana siku hiyo wao watashinda mitandaoni kutaka kujua kinachojiri ndo anguko kubwa la Lisu litakapotokea hadi atakimbia nchi hii kwa aibu
 
Maelezo yako hayo yanaonesha kiwango cha uelewa wako
Hukumbuki mapokezi yalizuiliwa?
 
Kahawa sh 1000 kg halafu unakuja na swaga za humjui magufuli for what? Ninasema kandayaziwa unayoiongelea labda ya chato ss walima kahawa tumeamua kwa kauli moja ni #yeye lisu usituambie kitu alaaaah!
 
Mkuu umesema jana wakati anatangazwa kuwa Mgombea wao, nilikuwa Jijini Mwanza yaani sikuona shamrashamra zozote , yaani watu walikuwa wanaendelea na shughuli zao Kama kawaida.
 

Wewe na wenzako ndio hamumjui LISSU.
Rais hachagulikwi kwa kujulikana bali kwa SERA.

Watanzania kwa miaka hii 5 wamejuta, makampuni yamekufa, mahoteli yamekufa, viwanda vimefungwa huku vyerehani za kurepea nguo za mitumba zikiongezeka.
Watu wamelazimishwa kuhamia Dodoma na gharama za maish HUKO Zzimekuwa kubwa na hakuna mantiki ya kwenda huko huku serikali ikiacha majengo yake yenye dhamani ya ma-trilioni yakioza DAr es salaam.
watu wamebambikiziwa kesi, si wa mjini tu , hata vijijini.
 
Kwa taarifa yako Lissu anajulikana kila kona ya nchi na anaushawishi mkubwa. Watu wamemchoka magu hana jipya isipokuwa kutumbua tumbua, watu wamechoka na hayo.
 
Kuna vitu vitatu tia akilini

1).Kuwa raisi haimaniishi ndiyo kigezo cha kujulikana nchi nzima , kuna maeneo hata hawamjui raisi wa nchi yao ni nani.

2).Hii ni oppinion na sio fact so inaweza kupuuzwa .

3).Kwa takwimu zipi ulizofanya mpaka ufikie hiyo conclusion?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…