Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Umetoa hoja ya kijinga sana kuhusisha ukabila kwenye hoja yako.

Usukumani huko kanda ya ziwa ndiyo waliompa kura nyingi Mrema 1995 kuliko kanda nyingine.

Ndiyo hao hao waliombeba Dr Slaa 2010 na kuipa CHADEMA viti 7 vya wabunge.

Ndiyo hao hao waliompa kura nyingi Lowassa licha ya Magufuli kutoka kanda hiyo hiyo.

Wasukuma wa kanda ya ziwa ni wanamageuzi kuliko kanda nyingine yoyote na ni objective voters.

Acheni kuropoka bila utafiti.

Soma kuelewa kilicho andikwa. Ukabila umeuona wapi hapi?

"Ipo tofauti ya kanda ya ziwa, Chatto na usukumani wasikoelimika yaani ambako ujinga tololo ndiyo kwao. Rejea tafiti za TWAWEZA."

Umeshindwa kufahamu kuna usukumani walikoelimika?

Kiswahili hujui, povu tu utafikiri umebugia OmO?

Hoja yako ni ya kijinga zaidi kuliko maelezo.

Soma kuelewa kabla ya kuanza kupayuka kipoyoyo poyoyo.
 
Mbona wagombea wa upinzani ni wengi kuna Membe,Lipumba,Rungwe kwanini CCM mumuwaze Lissu tuu.Mada za Membe zimeisha jukwaani.

Mlishasema CDM imekufa sasa mnashindanaje na kiumbe kilichokufa.
 
Hata watu wasiojulikana hawajulikani ila wana julikana
 
Nenda Songwe, Katavi, Rukwa na Tabora kwa wakulima wa Tumbaku waambie maneno hayo kama hujapigwa mawe. Kawalazimisha kuuza mazao kwenye vyama vya ushirika na si wafanyabiashara na kupelekea wawe masikini wa kutupwa.

Nenda Lindi, Pwani na Mtwara alafu waambie hayo maneno wakulima wa korosho uone watakufanya nini.

Itoshe kusema Magufuli wenu kafeli kwenye kila kitu. Hakuna namna ataweza shinda uchaguzi wa mwaka huu labda aibe na ikitokea ameiba, wote Tuko mtaani atupige risasi wote
Ni kweli unachokisema na hata mimi nikiwa mmoja wao.
Lakini kiukweli haya ni makundi ya watu wachache miongoni mwa wapiga kura.
Wapiga kura wengi ni wakulima wadogo sana na masikini walaa hawajihusishi na hivuo vyama.
Wafanyakazi,wakulima wakubwa na wafanyabiashara wengi sio wapiga kura,ni wachache mnoo kati yao.
Kama kweli tunaitaka ikulu twendeni vijijini huko ndani ndani haswaa mbona TASAF inafika huko ninyi mnakwama wapii.
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Kwani kushindwa ni dhambi isiyozungumzika ?!. Si no lazima mshindi apatikane au ?!.

Vinijini unakokusema watu wana hali mbaya sana. After all unazungumzia kukosa office vinijini !!. Miaka mitano yote mmepiga marufuku vyama vingine kufanya shughuli zao za kikatiba . Halafu leo unawaona Cdm kama wazembe ?! Strange
 
Ni kweli unachokisema na hata mimi nikiwa mmoja wao.
Lakini kiukweli haya ni makundi ya watu wachache miongoni mwa wapiga kura.
Wapiga kura wengi ni wakulima wadogo sana na masikini walaa hawajihusishi na hivuo vyama.
Wafanyakazi,wakulima wakubwa na wafanyabiashara wengi sio wapiga kura,ni wachache mnoo kati yao.
Kama kweli tunaitaka ikulu twendeni vijijini huko ndani ndani haswaa mbona TASAF inafika huko ninyi mnakwama wapii.
Nakwambia magufuli kasababisha umasikini wa kutupwa kwa wakulima. Subirini Muone October 2020.
 
Singida, Kilimanjaro,Arusha, Dar kote huku Lissu atabembea

Kwa sasa ccm watumie hekima kubwa sana.
Maana mioyo ya watu ipo Emotional zaidi. Wanaweza kwenda hata kuvunja gereza alipofungwa Lisu. Yaani wawe makini kwa mtu ambae makini waone alivyopokelewa licha ya mkwara wa police [emoji601] kuwaambia wasifike uwanja wa ndege.
Na wapo watu watakwenda kumwona aliyekufa na kufufuka kimiujiza.
Lisu yupo mioyoni mwa watu.
Hata wana ccm wengi mioyoni mwao kwa walivyotendewa utawala huu wanatamani ufutiliwe mbali.

Maana kuna hati hati ya kubadilishwa katiba ili kuwe na utawala wa kiimla.
 
Mmebaki na hoja mfu ya ukanda tu. Hivi unadhani kanda ya ziwa wote ni wajinga na wana roho za kijinga kama nyie???? Kanda ya Ziwa wapo wanaojielewa na wanaouona ujinga wote wa jiwe wenu na wako tayari kufanya maamuzi ya akili

Yaani kweli magufuli aMeis huwa how ja. Hatufai kuwa raisi wa Tanzania. Lazima twende na Lissu mwaka huu
Mbona Lake Zone CDM ishakufa kitambo.imebakia kidoogo mkoa wa Mara,tena ni kwa sababu ya wabunge walionao ndo maana kidogo CDM inaskikaskika kwa kanda ya ziwa.
 
Pigo kuu la pili la Lisu litatoka kanda ya ziwa nyumbani kwa Magufuli.Kanda ya ziwa ndiko kuna wapiga kura karibu nusu ya wapiga kura wote Tanzania kutokana na population yao ,
Kule ni ngome ya CCM na kwao Magufuli na ndiko alikopata kura nyingi uchaguzi uliopita

Kanda ya ziwa ndiko huamua nani awe mshindi sababu kuna wapiga kura wengi kuliko popote Tanzania

Tangu lini kanda ya ziwa imekuwa ngome kuu ya CCM? Au unamaanisha ya Magufuli? Halafu, siku hizi CCM nayo inaegemea kwenye ukabila/ukanda? Punguza desperation. Achana na Lissu; atafanya upayuke mengi na kuishia kuwaudhi mabosi wa CCM.
 
Umeongea point mkuu

Kwanza nashukuru kwamba hawa hawajatoka ccm watasaidia chadema ishinde

Nape
Makamba January
Ngereja
Makamba Junior
Kinana
Na wengine wengi ambao wametendwa na utawala huu.

Wapo walioonewa kwenye majina hewa na walikuwa wanakaribia kustaafu

Watoto waliokuwa wanasoma udom kufutiwa shule zao na mtoto wa mkulu kuendelea kusoma

Walio vunjiwa nyumba zao na kutokulipwa fidia

Wale ambao wametumbuliwa bila kufuata procedures za kazi na kudharirishwa

Walio bambikiwa kesi mbalimbali na kufungwa.

Yaani Lisu atakuwa anateleza tu maana hawa watu watamsaidia sana kuingia Ikulu.

Sasa vyama viungane watoe mtu mmoja yaani
Lisu apeperushe bendera Bara
Maalimu saif apeperushe bendera Zenji

Alafu wagawane majimbo. Yaani hata kama Lisu atashindwa lakini wabunge wengi wawe upinzani watatoa Rais kabisa .
 
Maneno km haya ni ya mtu hana kazi ya kufanya matokeo yake anaanza kuota ndoto km hizi..jimbo moja tu la watu hata hawazidi 150,000 lilimshinda Lisu, toka awe mbunge wao hata mradi mmoja wa maendeleo jimboni wa kuanzisha yeye kwa juhud zake hakuna..na hawa wanaomshabikia hata tu kuonyesha kuwajali watu wa jimbo lake toka apelekwe kutibiwa hakuna lolote..kipimo cha kujua dalili km CHADEMA iko hai kilikuwa kwenye kuchagua mgombea nafasi ya urais na mwenza, kwa walichofanya hiki chama baada ya uchaguzi kinakufa..kama Lisu na Salum Mwalimu ndiyo watu bora CHADEMA waliobaki si ni majanga!!
Hahaa eti baada ya uchaguzi Chadema itakufa, sio nyie mliosema haitafika 2020.
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Aisee hii paranoia mliyopata ni ya next level....

Uzuri wa Lissu ana IQ kubwa mno,hii ni biological lottery alishinda naturally,nyie na mawe IQ zenu ni kama zangu,naona mnatoka jasho la ulimi!

Lissu kaja naona kila mtu kakaa mguu sawa....katest mitambo tuu!
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Mkuu acha kulinganisha Rais Magufuli na Vitu vya ovyo ovyo kama msaliti Lissu!!
 
Bilabila we ni mwana PCM umeanza lini siasa? umesahau KissCamp
Kanda ya Ziwa ndiko walikovhomewa nyavu na kupasuliwa mitumbwi na Luhaga Mpina kwa baraka za Magufuli, Kanda ya ziwa ndiko walikotaifishwa mifugo na TANAPA, Kanda ya ziwa ndio waliovurugiwa vyanzo vyao vya uchumi kila mahali. Unaongea bila utafiti.
 
Back
Top Bottom