Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Asiyejua akinyamaza akiwa kati ya wanojua huonekana anajua hatua kama hajui.
 
Ni kweli sio kila kitu unachagua, lakini katika machaguo yaliyopo ni huru kabisa na toshelevu.

Algorithm ya netflix inapoleta machaguo una uhuru kabisa wa kuamua chochote. Imeleta yote yanayohitajika kwako binafsi. Na unaweza pata action, burdani (comedy)au matisho (horror) sawasawa na atakayepewa seti ya machaguo mengine. Muvi haziko sawa ila maudhui yote yapo.

So unapojikuta umezaliwa, chaguo la kuzaliwa na nani na lini halina umuhimu kwa kazi ya chaguo zilizo mbele yako, haujapendelewa wala kudhulumiwa. Unao uhuru sawasawa na wa miaka ile au ijayo at least qualitatively. Sio kwa sura, magnitude au quantity ya hizo chaguzi.
 
Mkuu,

Mimi nataka kuangalia movie ambayo haipo Netflix, halafu unaniambia nina uhuru wa kuichagua nikiwa Netflix?

Kwa nini unasema nina uhuru wakati clearly sina?
 
Mkuu,

Mimi nataka kuangalia movie ambayo haipo Netflix, halafu unaniambia nina uhuru wa kuichagua nikiwa Netflix?

Kwa nini unasema nina uhuru wakati clearly sina?
Kiranga, kwa sasa hivi gari zipo nyeusi, nyeupe na silver.

Mtu mwenye uhitaji na gari kwa matumizi yake atachagua katika hizo rangi kwa uhuru na atapata gari

Asije kulalamika ooh mimi nimenyimwa kutumia gari kwa sababu sijaona gari nyekundu

Huyo atakuwa na yake tu maana machaguo ya magari yaliyopo ni toshelevu kabisa kwa all intents and purposes za kuchagua na kutumia magari za halali as far as magari are concerned.

Netflix ina kila muvi qualitatively sio specifically. And it is not relevant kusema umenyimwa kuchagua muvi na netflix. Kwamba wananilazimisha kuangalia vitu sijachagua! Tutashangaa
 
Umeshakubali kwamba huo uhuru ni illusion, kwa sababu una mipaka.

Yani umemfunga kamba mbuzi ale kwa urefu wa kamba, halafu unamwambia mbuzi ana uhuru w akula anachotaka.
 
Umeshakubali kwamba huo uhuru ni illusion, kwa sababu una mipaka.

Yani umemfunga kamba mbuzi ale kwa urefu wa kamba, halafu unamwambia mbuzi ana uhuru w akula anachotaka.
Nakubali uhuru una mipaka.

Huyo mbuzi atakula kwa urefu wa kamba.

Ila ale majani. Sasa akijitia janjajanja, akataka kuila na kamba yenyewe namchinja😒

Maana naona atakuwa anataka kukata kamba huyu☝
 
Nakubali uhuru una mipaka.

Huyo mbuzi atakula kwa urefu wa kamba.

Ila ale majani. Sasa akijitia janjajanja, akataka kuila na kamba yenyewe namchinja😒

Maana naona atakuwa anataka kukata kamba huyu☝
Kwa hivyo mbuzi hana uhuru, kuna hadaa tu kwamba ana uhuru.
 
Sijaja kuua mjadala, nimekuja kuupa kina.
Basi bwna me hapa mbavu sina kwa vicheko hadi machozi yan. Coment yako imeniibulia vicheko, nimeburudika sana mkuu.
Twende kazi mkuu nipo nyuma yako najifichaficha nione atakayekukabili nizidi kucheka mie.
 
Kwa hivyo mbuzi hana uhuru, kuna hadaa tu kwamba ana uhuru.
Kila kitu na matokeo yake, mbuzi mtundu kama huyo hata kama nitamuacha.

Kesho atakata kamba akaliwe na fisi.

Sasa mimi sio Mungu, ninamuhitaji kupata faida zake ndio maana namchinja.

Ila angekuwa mbuzi wa Mungu aliyekamilika hahitaji kitu ndio angekula kamba akapotea akaliwa na fisi bila kuhusisha action yoyote kwa upande wa Mungu. Ni yeye tu na consequences zake.
 
Basi bwna me hapa mbavu sina kwa vicheko hadi machozi yan. Coment yako imeniibulia vicheko, nimeburudika sana mkuu.
Twende kazi mkuu nipo nyuma yako najifichaficha nione atakayekukabili nizidi kucheka mie.
Mkuu,

Nafurahi sana unavyofurahi.

Penye ukweli, uongo hujitenga.

Mimi nawasha taa kuonesha ukweli tu hapa, hata wanaoushambulia ukweli waushambulie tu, lakini watu na uwezo wao wa kuchambua mambo wakija kusoma wataona mbivu ziko wapi na mbichi ziko wapi.
 
A complete code of life is Qur an

Mtoa mada yuko sahihi.

Sababu za kushushwa mitume kwa mfululizo.

1.kama mtume aliyetangulia hakukamilisha utume wake kwamba labda aliondoka kabla ya mda na hakuacha mfumo mzima wa Maisha mfano Yesu.

2.kama Mtume fulani alishushwa kwa ajili ya jamii fulani tu na sio ulimwengu mzima Mfano Yesu alishushwa kwa wanaisreal tu.
 
Ushakubali mbuzi ana kamba, hana uhuru.

Hizi nyingine mbwembwe tu za ligi kuu kutetea timu yako hata kama imefungwa.
 
Jesus claimed to be king of jews
"The king David bloodlines"
But did Jesus actually exist?
Did Moses, solomon and king david exist?

what if i say no!
KWASABABU hAKUNA credible evidence for the existence of any of them outside the biblical texts.

so, WAMETOKA wapi haoa fictional characters?

lkn je bible ni maneno ya MUNGU?

no.!
It was written in the esoteric code of the mystery schools.

mimi naungana na jews.
 
Nitashangaa sana kama atatokea hayawani wa kutoona ukuu wa Bwana Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai!
 
Wewe ndio umeingia chaka kabisa, Islam si extension of Christianity tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…