Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Dhambi ilishakomeshwa, iweje ufanye dhambi tena?
Ni Kama ww huamini Kama Yesu ni Masiha, sasa hata kilichoandikwa huamini wazidi kutenda dhambi.
Ndugu mwandishi unaamini uwepo wa Mungu?

Biblia ukiisoma na kuielewa utajua kabisa tulishakombolewa. Kilichobakia ni kumtumikia Mungu na kumtukuza.
 
Mi naamini

Super natural power IITWAYO Mungu kikwetu na majina mengine kwa lugha Mbali Mbali ipo(yupo)!

Lakini

Kuna Binadamu fulani labda Wana siri zao au akili Sana kuliko sisi Wana dictate nini tuelewe kumhusu huyo Mungu!

YAANI

Wametupangia tuaminije,tuabudu VIPI,tusome nini na kipi tusisome kumhusu huyo!!

YAANI na imani yetu wamei control KWA Namna wanavotaka wao!!

Tuachojifunza kuhusu huyo Mungu sio alichotaka tujue bali wao hao jamaa wameamua tujue hivyo!!

Ninaposoma vitabu vyote vya dini siamini hayo yote pekee ndio yanayomhusu huyo mengine yamefichwa na mengine ni uongo kabisa wa mchana kweupe!!

Naendelea kuyatafuta yaliyofichwa sio yanayoonekana na kuaminiwa na wengi!
 
Tunachojadili hapa ni hoja za Wayahudi, kisha maswali kadhaa niliyoyaandika hapo Chini.

Imani yangu ni nje ya mada, au Imani yako ni nje ya mada.
Hata tunajadili kama tupo darasani. Sio kanisani
 
Mi naamini

Super natural power IITWAYO Mungu kikwetu na majina mengine kwa lugha Mbali Mbali ipo(yupo)!

Lakini

Kuna Binadamu fulani labda Wana siri zao au akili Sana kuliko sisi Wana dictate nini tuelewe kumhusu huyo Mungu!

YAANI

Wametupangia tuaminije,tuabudu VIPI,tusome nini na kipi tusisome kumhusu huyo!!

YAANI na imani yetu wamei control KWA Namna wanavotaka wao!!

Tuachojifunza kuhusu huyo Mungu sio alichotaka tujue bali wao hao jamaa wameamua tujue hivyo!!

Ninaposoma vitabu vyote vya dini siamini hayo yote pekee ndio yanayomhusu huyo mengine yamefichwa na mengine ni uongo kabisa wa mchana kweupe!!

Naendelea kuyatafuta yaliyofichwa sio yanayoonekana na kuaminiwa na wengi!

Mkuu, ukiishi hivyo utaishi Kwa furaha na Kufa Kwa Amani
 
hoja zao zote ni za kijinga sana.

a) kwamba hakushusha utawala wa Mungu,hapa walirenga nini wakati Yesu amekuja kama Mungu akakaa kwetu,tukauona utukufu wa Mungu??walitaka Mungu ashushe malaika wawe wanajaeshi ama??

b)hakutokana na ukoo wa daudi lakini mama yake ni wa ukoo huo mariam,hawa wavuta bangi walitaka azaliwe masihi kutokana na wao halafu ashushe utawala wa Mungu[emoji38][emoji38],bangi ni janga.

c) masihi lazima warudishe waisrael wote waliotawanyika,hapa wanajipa umuhimu zaidi ya mataifa mengine mbele za Mungu,hata hapo walipo wamerudishwa kibabe aliyewarudisha ndiye masihi wao???ni nani??

d) magonjwa na taabu-hapa sio paradiso ni duniani magonjwa na taabu ziko pale pale,na kama hawatampokea hata huko paradiso watapasikia kwenye simu.
HUJAJIBU HOJA BADALA YAKE BADALA YAKE UNATAKA KULAZIMISHA WENGINE WAAMINI UNAYOYASEMA BILA UTHIBITISHO.
 
Duh! Huyu jamaa alitudiss Sana 🤔
Ila alituambia ukweli. Wewe angalia wazungu huko ulaya wengi hawaendi makanisani kutafuta miujiza na makanisa ni ya kuhesabu. Lakini ukija Afrika makanisa mpaka vichochoroni hadi maeneo mengine watu wanashindwa kulala kutokana na kelele za makanisa hayo. Waumini wanachangishwa michango kila siku ili wachungaji waweze kuishi vizuri huku wanaochanga wakiishi maisha ya umasikini wa kutupwa.

Ukija kwa waarab huko Saudi Arabia hakuna imani kali kama wale tunaowashuhudia Somalia, Nigeria, Msumbiji na kwengineko.

Mpemba hayuko radhi kuishi na mtanzania mwenzake eti kisa sio muislamu.
 
Nimeshangaa kuona vitabu vya Injili vipo kaika Biblia ya Wayahudi. Injili zote nne;Mark,Luke,Mathew,John;nyaraka zote za New Testament, za Paul, James, Peter, everyone.

Hili jambo nitalifuatilia baadaye:kwa nini vitabu vya Injili vipo katika Orthodox Jewish Bible(OJB)?
Nilipotazama haraka haraka kutafuta sababu, nimeona tu wanasema,"Huyu Jamaa ni Mtume wa adui zetu, lakini tumeambiwa tumsikilize kwa sasa mpaka hapo Masiha atakapokuja. Huyu Jamaa ni somo wa Masiha wetu,majina yao yanafanana. Huyu Jamaa ni mtu mzuri,anatuudhi tu anapojiita "Masiha".
 
Nimeshangaa kuona vitabu vya Injili vipo kaika Biblia ya Wayahudi. Injili zote nne;Mark,Luke,Mathew,John;nyaraka zote za New Testament,za Paul,James,Peter,everyone.
Hili jambo nitalifuatilia baadaye:kwa nini vitabu vya Injili vipo katika Orthodox Jewish Bible(OJB)?
Nilipotazama haraka haraka kutafuta sababu,nimeona tu wanasema,"Huyu Jamaa ni Mtume wa adui zetu,lakini tumeambiwa tumsikilize kwa sasa mpaka hapo Masiha atakapokuja. Huyu Jamaa ni somo wa Masiha wetu,majina yao yanafanana. Huyu Jamaa ni mtu mzuri,anatuudhi tu anapojiita "Masiha".

😀😀
Wanamuita Jamaa
 
Back
Top Bottom