Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

Manabii wa uislam kati ya wengi ni Adam, Ibrahim,lut,suleiman bin Dawood, Muhammad bin Abdullah,Mungu wa uislam ana majina mengi mojawapo ni Allah,muasisi wa uislam ni Allah/ar-rahmaan/Al mutakabbir/ar-razaqu nk
Nijuavyo binafsi,, chimbuko la Allah. ni El,,,, sema matamshi hutofautiana sababu ya makabila, ndo maana kuna David in english, Daud kiswahili.
Jesus-yesu.
AbdAllah-AbdiEl.
Abumalik-Abimelek.
Solomon-suleiman-shulman🤷🏻‍♀️
 
Allah ni jina kiarabu lenye maana ya mungu,ni moja ya majina ya mwenyezi mungu kwa muktadha wa uislam,hata neno eloi kwa namna halisi linavyotamkwa ilahi yaani mungu wangu ambapo hata kwa kiarabu linatamkwa vivo hivyo yaani 'ilahiy'...kumbuka waisrael baba yao mwarabu
 
Uislam ni dini tangu nabii Adam,binaadam wa kwanza,wayahudi wanachangia manabii na uislam japo baadhi ya manabii waliwaua,wanawakubali baadhi Kama Ibrahim,daud na kuwakataa baadhi Kama Isa bin Maryam na Muhammad bin Abdullah,sisi waislam tunatambua manabii wote

162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163

Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall

Kwa nini unalazimisha Wayahudi ni waislam Wakati Quran inaeleza muislam wa Kwanza ni Muhammad?
 
Allah ni jina kiarabu lenye maana ya mungu,ni moja ya majina ya mwenyezi mungu kwa muktadha wa uislam,hata neno eloi kwa namna halisi linavyotamkwa ilahi yaani mungu wangu ambapo hata kwa kiarabu linatamkwa vivo hivyo yaani 'ilahiy'...kumbuka waisrael baba yao mwarabu

Ibrahim hakuwa muarabu Acha kuongea uongo, ukiambiwa uthibitishe hautothibisha.
 
Abraham, ibrahim asili yake ni mesopotamia(irag),, alikuja caanan kutafuta maisha, lakini chimbuko hasa la kwao ni Paran, syria kama sikosei, hivyo hata iraq walihamia,, watoto wa abraham kina isaka walilazimika kurudi syria kwa uncle Laban, kwenda kuoa.

Ukisoma kitabu cha bible kinaeleza wazi, uzao wa jacobo, chimbuko lao ni syria
 
Nakala inapatikana Wapi??😉

Nashindwa kuelewa. Haya yote unawatangazia Jamii unayoitukana kila kukicha. Yaani Aisee

😉😂😂😂🤔
 
Abraham, ibrahim asili yake ni mesopotamia(irag),, alikuja caanan kutafuta maisha, lakini chimbuko hasa la kwao ni Paran,, syria kama sikosei, hivyo hata iraq walihamia,, watoto wa abraham kina isaka walilazimika kurudi syria kwa uncle Laban, kwenda kuoa,,
Ukisoma kitabu cha bible kinaeleza wazi, uzao wa jacobo, chimbuko lao ni syria

Yeye anasema Ibrahim ni muarabu?
Sasa ndio anasubiriwa aje kuthibitisha
 
Allah ni jina kiarabu lenye maana ya mungu,ni moja ya majina ya mwenyezi mungu kwa muktadha wa uislam,hata neno eloi kwa namna halisi linavyotamkwa ilahi yaani mungu wangu ambapo hata kwa kiarabu linatamkwa vivo hivyo yaani 'ilahiy'...kumbuka waisrael baba yao mwarabu
Lugha ya kiebrania na kiarabu,, imezaliwa na rugha ya ki aramaic,, hii ni lugha ya zamani ilikua inaongewa na watu wa Aram kingdom(syria).

Hata yesu aliongea ki aramaic maana kipindi yesu anaishi, hiyo lugha ndo ilikuwa sawa na kiingereza,, yaani iliongewa na jamii nyingi za levant(caanan)
 
Tuma nakala moja kwenye Gazeti Israeli😇
😇😇😇🤣🤣🤣
 
Kumaanisha waarabu pia hawakuwepo.
No, genetics hazibadiliki,, lugha ndo hubadilika,, mfano, wakati wa yesu, hapakuwa na kiingereza, kiswahili, nadhani hata kisukuma😁,hata kiebrania cha ancient, siyo hiki wanachoongea leo,, hii ni neo hebrew language iliyoanzishwa miaka ya 1700 kama sikosei, unaweza uka research.

Watu ni walewale, sema civilization huingiliana na kuzalisha kitu kipya,, lakini genetics inabaki palepale
 
162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall

Kwa nini unalazimisha Wayahudi ni waislam Wakati Quran inaeleza muislam wa Kwanza ni Muhamma

162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall

Kwa nini unalazimisha Wayahudi ni waislam Wakati Quran inaeleza muislam wa Kwanza ni Muhammad?
Uwe unauliza usiyoyajua badala ya kuhitimisha,hapo Aya inamaanisha Muhammad awe wa kwanza katika uislam katika ummah(zama zake) wake
QURAN 5:44
Indeed we sent down Torah,in which was guidance and light....
Torah ni kitabu Cha nabii
QURAN 19:41-50
Those were the ones among whom Allah bestowed favor among the prophets...and descendants Abraham and Israel...
Natumaini utapata mwanga
 
No, genetics hazibadiliki,, lugha ndo hubadilika,, mfano, wakati wa yesu, hapakuwa na kiingereza, kiswahili, nadhani hata kisukuma😁,hata kiebrania cha ancient, siyo hiki wanachoongea leo,, hii ni neo hebrew language iliyoanzishwa miaka ya 1700 kama sikosei, unaweza uka research,
Watu ni walewale, sema civilization huingiliana na kuzalisha kitu kipya,, lakini genetics inabaki palepale
Screenshot_20230121-134823.png
 
S
rahim ni mzaliwa wa Uru WA ukaldayo, Iraq ya leo. Ni muaramu
Kwa hiyo Iraq siyo arabuni!?..Tena huo mji ambao Leo unaitwa tall Al mughayyar upo 300km kusini mashariki mwa Baghdad
 
Uwe unauliza usiyoyajua badala ya kuhitimisha,hapo Aya inamaanisha Muhammad awe wa kwanza katika uislam katika ummah(zama zake) wake
QURAN 5:44
Indeed we sent down Torah,in which was guidance and light....
Torah ni kitabu Cha nabii
QURAN 19:41-50
Those were the ones among whom Allah bestowed favor among the prophets...and descendants Abraham and Israel...
Natumaini utapata mwanga

Nitajie nguzo kuu za uislam?
Bila Shaka hizo ndio zinamtambulisha MTU kuwa ni muislam.
Baada ya kunitajia, niambie ni nabii gani kuacha Muhammad aliyeshika hizo nguzo kuu za uislam?

Wewe ndio utaanza Kupata Mwanga
 
Back
Top Bottom